Nilikuwa wa kwanza kumkataa Folz na Adambwile ni matapeli

Nilikuwa wa kwanza kumkataa Folz na Adambwile ni matapeli

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Mlinipinga sana kuhusu huu ukweli.

Ila kadri siku zinavyoenda wote mtaungana na mimi. Naujua mpira kuliko navyozijua nyuchi zangu!
 
Duh wabongo bwana huyu Andambwile aliyesifiwa katika mechi dhidi ya Kolo FC ndo huyuhuyu mnamkataa Leo?
 
Kocha ni Takataka, post yangu niliiweka baada ya mchezo wa kwanza tu dhidi ya SIMBA ,na vilaza wengi mlinipinga
Wenzio waliona na kusema kuanzia mechi ya Rayon Sports ya Rwanda na wengine ikiwemo Mimi niliona mechi ya Sikunya Wananchi kwamba Folz siyo kocha mzuri.
Nahisi pia kocha wa viungo yule dogo m-south pia siyo mzuri kivile.
Pale tumepatia kwa yule mwarabu Dr. Youssef Ammar physiotherapist.
 
Muchizi vunga kasababisha matatizo jangwani
 
Hizo timu kikwete na wanamtandao wanatumia UTAKATISHAJI ova mnaliaaaa nini?!!!
 
Back
Top Bottom