mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Kocha ni Takataka, post yangu niliiweka baada ya mchezo wa kwanza tu dhidi ya SIMBA ,na vilaza wengi mlinipingahukuwa wa kwanza babu, wengi tulijua kocha ni kilaza
Duh, ni sifa unayoihiitaji kiasi hichoTakataka, post yangu niliiweka baada ya mchezo wa kwanza tu dhidi ya SIMBA ,na vilaza wengi mlinipinga
Namaanisha Kocha ni Takataka, yes nahitaji nipiwe maua yanguDuh, ni sifa unayoihiitaji kiasi hicho
Wewe wasemaFoili ni bonge la kocha atifikisha Yanga mbali tumvumilie tu.
Kwani nimesema wewe ndiye umesema? Tuachieni Kocha wetu na tunatamba naye.Wewe wasema
Wachambuzi Fake...Mlinipinga sana kuhusu huu ukweli.
Ila kadri siku zinavyoenda wote mtaungana na mimi. Naujua mpira kuliko navyozijua nyuchi zangu!
Wenzio waliona na kusema kuanzia mechi ya Rayon Sports ya Rwanda na wengine ikiwemo Mimi niliona mechi ya Sikunya Wananchi kwamba Folz siyo kocha mzuri.Kocha ni Takataka, post yangu niliiweka baada ya mchezo wa kwanza tu dhidi ya SIMBA ,na vilaza wengi mlinipinga
Sasa wewe ulianza kumkataa mechi na Simba!Kocha ni Takataka, post yangu niliiweka baada ya mchezo wa kwanza tu dhidi ya SIMBA ,na vilaza wengi mlinipinga