Nililala na mke wa mtu aliyenizidi miaka 30

NAAM NDIO WIFE MATERIAL HUYO πŸ˜‚

NA STATUS ZA KWENYE SIMU YAKE SASA:
neema ya Mungu inatosha
Mungu ni pendo
Mithali 31:10-31
zaburi 11:1-7
yohana 3: 16
 
Dogo umezingua mnoo...ningekua krb ningekutandika makofi
 
Poor boy. You could've done something better than that nonsense and what advantage did you get after fu.cked her and by disclosing this information of fu.cking the old woman who she's not on the menopause anymore.
 
KWAHIYO KIJANA UMEMKULA MKE WANGU
 
Nyamagana Primary school ety eeh. Ntakunyaka soon maan maza angu anafundisha hapo.
 
haya mwalimu hii ndio picha halisi ya walimu bongo yaani kuna mda nataman hata wanangu nisiwapeleke shule
 
Hapo umemuanika peupe mamkubwa wa watu yaani mume wake akipita hapa anaelewa code bila hata Redds.
Jamani wanaume kueni basi sio ukila tunda mpaka uje usimulie mengine unabaki nayo au unayavalisha nguo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nimeshangaa Kuna watu wame like uzi, Sasa mtu una like nini hapo
 
Mi nimeshangaa Kuna watu wame like uzi, Sasa mtu una like nini hapo
Wanafurahia mwanamke kuanikwa jinsi alivyoliwa...kuna mpaka uzi special wa kusimulia jinsi wanavyokula mademu zao
 
Uzi wa kifala sana , kuna watu wanaishi nyamagana na labda mumewe au mtoto yupo jf na na huyo mme ndio mkewe alienda kufuatilia uhamisho and too bad ananjua mkewe ni mweupe mwenye big butt.

Vijana OVyo sana.

Moderator futa uzi huu
 
nimekutana na reds kwenye nyuzi mbili nilizosoma leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…