Hivi china hakuwa tayari Simba? Na golini hakuwa Steven Nemesi kweli!Young Africans..Sahau Kambi..David Mwakalebela..Ken mkapa..Godwin Aswile..Salum Kabunda..Isa Athuman(Rip)..Nicodemus Ntekele(Rip)..Athumani China..Said Mwamba Kizota..Edibili Lunyamira..namba kumi nimemsahau mkuu..
Sana tu ila siku hizi naishia kuangalia mechi nikiwa na nafasi, siijui first evelen ya timu yoyote. Enzi hizo nilikuwa situmwi kama kuna mechi inaendelea.Ha ha ha mkuu na wewe imekukaa moyoni hyo game asee!
Duuu kna Steve Musa! Haf mbona nakumbuka km hyo mechi Steve alicheza akiwa Yanga?Mkuu miaka hiyo kulikua na vipaji haswa kuna mtu alikua anaitwa Michael Paul wa shinyanga kusajiliwa Simba Alinunuliwa mashine ya kusaga Nylon alikua anajua mpira huyu kifaa aisee huko tukuyu wana Stiven Musa..reli Moro Mbui Yondan..majimjaji Celestine Sikinde Mbunga(rip)..Nteze john Pamba Inocent Haule Zanzibar..daud kufa kunoga Lipuli..
[emoji1] duu betri za kupondaponda!Nilikua sitoki kando ya redio. Hata kama betri zimekwisha, nitaokoteza zilizotupwa.Nazipondaponda na kuzipanda kwenye vipande vya mabua ya alizeti na kuunganisha waya wa + na - kwenye mkulima.
Ikifungwa timu yangu nakosa raha siku kadhaa.
Ha ha ha, baada ya wiki!yaa miaka iyo nyumba nyingi betri za National zilikua zikianikwa katika nyumba na mpira tuanafatilia kweli Fat chini ya Ndolanga na Mwanakatwe katibu Aden Rage full sanaa sema mpira ulikuepo hela za viingilio wanaenda nazo nyumbani wanatangaza mapato baada ya wiki kupita..
Ndio mkuu. Betri ikiisha nguvu huwa inatupwa. Mi nilikuwa naziokota na kuzipondaponda. Zikibonyea hujicharge. Ukiziunganisha kwenye mtungo zinapiga mzigo. Village life bhana.[emoji1] duu betri za kupondaponda!
Duuu kna Steve Musa! Haf mbona nakumbuka km hyo mechi Steve alicheza akiwa Yanga?
Duuu kna Steve Musa! Haf mbona nakumbuka km hyo mechi Steve alicheza akiwa Yanga?
baada ya kutufunga nne ndio akaanza kukaa Nemes nemes hajawahi fungwa magoli mengi zaid ya penaltDuu umenkumbusha akina Mustafa Hoza,kasongo,Mkuki n.k
Kwa kumbukumbu zangu kikosi kilikuwa hiki hapa: steven Nemes, Kened Mkapa, Willy Mtendamema, Chimanda Consitantine, Willy Martin, Method Mogella, Said Mwamba, Sakilojo Chambua, Sanifu Lazao, James Tungaraza na Edibily Lunyamila.Young Africans..Sahau Kambi..David Mwakalebela..Ken mkapa..Godwin Aswile..Salum Kabunda..Isa Athuman(Rip)..Nicodemus Ntekele(Rip)..Athumani China..Said Mwamba Kizota..Edibili Lunyamira..namba kumi nimemsahau mkuu..