Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Siku hiyo "Mkoba" alicheza Konstantino Kimanda na ndiye aliyefunga Goli pekee la Yanga. Namba Kumi alikuw Mohamed Hussein "Mmachinga"....Young Africans..Sahau Kambi..David Mwakalebela..Ken mkapa..Godwin Aswile..Salum Kabunda..Isa Athuman(Rip)..Nicodemus Ntekele(Rip)..Athumani China..Said Mwamba Kizota..Edibili Lunyamira..namba kumi nimemsahau mkuu..
Yap kwa kumbukumbu ndogo niliyonayo hao wachezaji ni sahihi mkuu.Kwa kumbukumbu zangu kikosi kilikuwa hiki hapa: steven Nemes, Kened Mkapa, Willy Mtendamema, Chimanda Consitantine, Willy Martin, Method Mogella, Said Mwamba, Sakilojo Chambua, Sanifu Lazao, James Tungaraza na Edibily Lunyamila.
Hiki ndicho kilikuwa kikosi kamili japo sijakipangilia vyema. Hakika nakumbuka niliugua kabisa, kipindi hicho nilikuwa shule ya msingi nikiwa na miaka 14. Mdogo wangu na kaka yangu walikuwa washabiki wa Simba, yalikuwa maumivu kwelikweli.
Nimecheza sn cha ndimu. Ha ha ha umenchekesha ulivotegea ckio huku ukiwa ndani mkuu, manake kama nakuona vle!Umewahi kucheza walau hata kidogo
Km hujacheza hata mazoez huna faida kwa kweli
Hiyo mech nakumbuka nilikuwa nimekatazwa kutoka ndani na radio imetolewa nje wanasikiliza watu wakubwa na wagen
MI nikatega sikio kwa ndani
Mkuu... Yani hapo ndio chama langu hilo...Bila kusahau mieleka
Roman Regns sijui kama nmeandoka ipaswavyo..... Ndio bingwa sasa hiviKuna yule jamaa kipenzi cha mabnti anavaa full black, tall na nywele ndefu nyeusi hv, cku hz ndo anasumbua cjui anaitwa nani
Hiki kikosi siyo cha kweli, wachezaji hao kuna baadhi hawakukutana kabisa. Sahau Kambi mwisho wake ulikuwa 1989 kama sikosei wakati John Makelele wa Simba alipofunga bao la pili lililoiokoa Simba kushuka daraja. Alitolewa uwanjani usiku na kupelekwa kwao Morogoro usiku huo huo ili kueakimbia wapenzi wa Yanga waliotaka kundhuru. Kumbuka Yanga ilihitaji sare kuwa bingwa na Simba ilihitaji ushindi isishuke.Young Africans..Sahau Kambi..David Mwakalebela..Ken mkapa..Godwin Aswile..Salum Kabunda..Isa Athuman(Rip)..Nicodemus Ntekele(Rip)..Athumani China..Said Mwamba Kizota..Edibili Lunyamira..namba kumi nimemsahau mkuu..