Nililala na njaa kwa sababu ya mechi ya Simba na Yanga

Nililala na njaa kwa sababu ya mechi ya Simba na Yanga

Umewahi kucheza walau hata kidogo

Km hujacheza hata mazoez huna faida kwa kweli

Hiyo mech nakumbuka nilikuwa nimekatazwa kutoka ndani na radio imetolewa nje wanasikiliza watu wakubwa na wagen
MI nikatega sikio kwa ndani
 
Young Africans..Sahau Kambi..David Mwakalebela..Ken mkapa..Godwin Aswile..Salum Kabunda..Isa Athuman(Rip)..Nicodemus Ntekele(Rip)..Athumani China..Said Mwamba Kizota..Edibili Lunyamira..namba kumi nimemsahau mkuu..
Siku hiyo "Mkoba" alicheza Konstantino Kimanda na ndiye aliyefunga Goli pekee la Yanga. Namba Kumi alikuw Mohamed Hussein "Mmachinga"....
 
Kwa kumbukumbu zangu kikosi kilikuwa hiki hapa: steven Nemes, Kened Mkapa, Willy Mtendamema, Chimanda Consitantine, Willy Martin, Method Mogella, Said Mwamba, Sakilojo Chambua, Sanifu Lazao, James Tungaraza na Edibily Lunyamila.
Hiki ndicho kilikuwa kikosi kamili japo sijakipangilia vyema. Hakika nakumbuka niliugua kabisa, kipindi hicho nilikuwa shule ya msingi nikiwa na miaka 14. Mdogo wangu na kaka yangu walikuwa washabiki wa Simba, yalikuwa maumivu kwelikweli.
Yap kwa kumbukumbu ndogo niliyonayo hao wachezaji ni sahihi mkuu.
 
Umewahi kucheza walau hata kidogo

Km hujacheza hata mazoez huna faida kwa kweli

Hiyo mech nakumbuka nilikuwa nimekatazwa kutoka ndani na radio imetolewa nje wanasikiliza watu wakubwa na wagen
MI nikatega sikio kwa ndani
Nimecheza sn cha ndimu. Ha ha ha umenchekesha ulivotegea ckio huku ukiwa ndani mkuu, manake kama nakuona vle!
 
Kuna yule jamaa kipenzi cha mabnti anavaa full black, tall na nywele ndefu nyeusi hv, cku hz ndo anasumbua cjui anaitwa nani
Roman Regns sijui kama nmeandoka ipaswavyo..... Ndio bingwa sasa hivi
 
Young Africans..Sahau Kambi..David Mwakalebela..Ken mkapa..Godwin Aswile..Salum Kabunda..Isa Athuman(Rip)..Nicodemus Ntekele(Rip)..Athumani China..Said Mwamba Kizota..Edibili Lunyamira..namba kumi nimemsahau mkuu..
Hiki kikosi siyo cha kweli, wachezaji hao kuna baadhi hawakukutana kabisa. Sahau Kambi mwisho wake ulikuwa 1989 kama sikosei wakati John Makelele wa Simba alipofunga bao la pili lililoiokoa Simba kushuka daraja. Alitolewa uwanjani usiku na kupelekwa kwao Morogoro usiku huo huo ili kueakimbia wapenzi wa Yanga waliotaka kundhuru. Kumbuka Yanga ilihitaji sare kuwa bingwa na Simba ilihitaji ushindi isishuke.

Mwakalebela mwisho wake ulikuwa 1992 Zanzibar katika kombe la Muungano alipokosa penati na Simba kutwaa ubingwa.

Wenye kikosi sahihi watuwekee humu
 
Back
Top Bottom