Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 381
- 131
Wiki Moja iliyopita NILILIPIA BIDHAA kutoka Amsterdam mtandaoni, lakini KIASI kama KILE nilicholipia wamekishikilia. Yaani sitaweza kutoa eti mpaka wakamilishe muamala kwa upande wao huko (Kwa mjibu wa CRDB huduma kwa wateja) Naomba kujua yafuatayo:
1. Wote mnaolipia BIDHAA MTANDAONI mnakutana na scenario kama hiyo?
2. Kama ndio, inarudi baada ya muda Gani?
3. Hapo kweli sijatapeliwa?
1. Wote mnaolipia BIDHAA MTANDAONI mnakutana na scenario kama hiyo?
2. Kama ndio, inarudi baada ya muda Gani?
3. Hapo kweli sijatapeliwa?