Pamoja na mapenzi ya dhati kwa Simba na juhudi za wapenzi hao, nimesikitika kuambiwa mwenyekiti wao aliesimamia ujenzi wa bango Amefariki baada tu ya kukamilisha ujenzi huo
Pamoja na mapenzi ya dhati kwa Simba na juhudi za wapenzi hao, nimesikitika kuambiwa mwenyekiti wao aliesimamia ujenzi wa tishari Amefariki baada tu ya kukamilisha ujenzi huo