Nilime nini kati ya nanasi, machungwa, maembe na mapapai?

UKIPEKUA HUMU KAPUNI UTAKUTANA NA UFAFANUZI WA KILIMO CHA MACHUNGWA MIPAPAI NA NANASI.WAMEELEZEA VIZURI
UKISHAFIKIA MAAMUZI USISAHAU KURUDI KUTAFUTA VIBARUA HUKU
 
UKIPEKUA HUMU KAPUNI UTAKUTANA NA UFAFANUZI WA KILIMO CHA MACHUNGWA MIPAPAI NA NANASI.WAMEELEZEA VIZURI
UKISHAFIKIA MAAMUZI USISAHAU KURUDI KUTAFUTA VIBARUA HUKU
Ngoja nichimbue chimbue hizo nyuzi
 
Unalimia wapi ndg?
 
Iv haiwezekani kulima kwa kutumia mbegu za asili na kupata faida?
Mbegu za asili zinachelewa kuzaa na pia ni vigumu kujua mpapai dume na jike inapokua midogo, hybrid inakua na sex zote yani unaweza ukapanda mpapai mmoja na ukazaa wenyewe bila kuwepo mpapai mwingine(dume)
 
Sina uwezo wa kuyahudumia yote kwa mpigo. Au unamaanisha kuwa shamba hilo hilo moja nipande mipapai, michungwa na minanasi?
Lima mboga mboga utarudisha pesa yako na kupata faida ndani ya muda mfupi. Mfano mchicha unavuna kuanzia wiki ya tatu tangu kupandwa na soko lake ni kubwa sana
 
Lima mboga mboga utarudisha pesa yako na kupata faida ndani ya muda mfupi. Mfano mchicha unavuna kuanzia wiki ya tatu tangu kupandwa na soko lake ni kubwa sana
Asante kwa ushauri huu
 
kwa bei ya papai moja 3000 anapata bilioni moja na milioni hamsini kila mwaka dah noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…