Comrade 01
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 601
- 626
Hili swali alitakiwa chatu ndio akujibu kwanini aanze na mguu!!?Mkuu bado hujajibu swali kwanini hakuanza kukumeza kuanzia kichwani badala yake akaanza na mguu?
Kulala chali kwani kunamfanya kumeza aanze na miguu?
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi kwa kumbukumbu zangu 98 kulikuwa mvua kubwa sana ingawa nilikuwa dogo sana mvua nyingine kubwa sana ilinyesha miaka ya hivi karibu nadhani ni 2013 au 2014.....
Ilianza celtel ndio ikaja zain
MKUU soma uelewi kwanza kisha ndio ujibu, au bado unatetemeka!?Niliwahi kujiangusha chini ukilala chali chatu Hana ujanja ila Ana nguvu sana kuliko unavyoweza kudhani
DuhPicha zangu nilizopigwa nikiwa nimemezwa na chatu ziliuzwa sana pale uyole picha moja iliuzwa buku.
Cha ajabu sikufaidika hata na shilingi katika picha zile ambazo watu walineemeka kibiashara kupitia shida yangu.
Tritel?Wakati mtandao wa tritel unaoparate tanzania wewe ulikuwa wapi mkuu?
Makubwa yapi boss?
Sitaisahau elnino ya mwaka tajwa hapo juu, mvua zilikuwa kubwa sana kule maeneo ya Mbeya bila kujua nikaingia kwenye mtego wa chatu, alinidondosha.
Pona yangu sikuamka, na ukilala chali chatu hakuwezi alinitambaa sana mwilini ili anivingirishe ila nilijikaza na ile ngozi yake laini ilivyokuwa inanitambaa mwilini.
Nilijikaza lakini alibahatisha kunimeza mguu wote; alishindwa kunimalizia kwasababu nilikuwa nimetanua mguu wa kulia hivyo sikupita mdomoni mwake. Niliokolewa baada ya masaa matatu ila mguu uliungua sana.
Huwezi amini tulikuwa tunaangaliana jicho kwa jicho huku nimelala, ujasiri huu niliupata baada ya kulewa sana pombe ya Kiroba ilikuwa maarufu sana kule Mbeya inaitwa Double Punch.
Chatu msikie tu. Yupo kama jini au shetani, yale macho yake mkitazamana kwa karibu.
Ilikuwa mwaka gani mkuu?Picha zangu nilizopigwa nikiwa nimemezwa na chatu ziliuzwa sana pale uyole picha moja iliuzwa buku.
Cha ajabu sikufaidika hata na shilingi katika picha zile ambazo watu walineemeka kibiashara kupitia shida yangu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili swali lako aulizwe chatu maana ndio mmezaji na ndie aliamua kuanzia miguuni
Inategemeana na ww ulikuwa maeneo gani, mm nimetumia simu Motorola L6 then L7 zile zilikuwa slim miaka ya 2007 hivi. Camera internet na kila kitu ilikuwa navyo.Ndio najiuliza, maana hizi simu za picha nyingi zimeingia 2011 mwishoni, 2012...
Mimi Tecno P3 yangu nilinunua 2012...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wa mvua za El nino kulikuwa na simu yenye uwezo wa kupiga picha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ni kwa "Great thinkers" sio huko ulikozoeaJifunze kuelewa mtu anachomaanisha
Ata vituo vya mafuta vinaitwa sheli
Sent using Jamii Forums mobile app