Wapi nimetaja simuWakati wa mvua za El nino kulikuwa na simu yenye uwezo wa kupiga picha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kujiangusha chini ukilala chali chatu Hana ujanja ila Ana nguvu sana kuliko unavyoweza kudhani
Nilikuwa natapatapa kwa kurusha miguu akaudakaMkuu bado hujajibu swali kwanini hakuanza kukumeza kuanzia kichwani badala yake akaanza na mguu?
Kulala chali kwani kunamfanya kumeza aanze na miguu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali vizuri watu tufunge thread.Niliwahi kujiangusha chini ukilala chali chatu Hana ujanja ila Ana nguvu sana kuliko unavyoweza kudhani
Ndio najiuliza, maana hizi simu za picha nyingi zimeingia 2011 mwishoni, 2012...Wakati wa mvua za El nino kulikuwa na simu yenye uwezo wa kupiga picha?
Sent using Jamii Forums mobile app
JKT Itende??!!!!! Mbona ipo mbali sana na reli ya TAZARA?????Mbeya karibu na reli ya tazara maeneo ya kambi ya jkt mbeya walikuwa na huo mtindo zamani wanapiga picha matukio halafu wanauza picha
Simu za camera tangu miaka ya 2005,faza wangu mdogo alikuwa anaenda Kampala kurangua simu zile za kufunua zilikuwa na kamera hapa bongo alikuwa anauza simu moja laki tano, enzi hizo tena anauza mkononi Ila zilikuwa mpya,2008 zilikuwepo simu zenye kupiga picha sema zilikuwa chache.Ndio najiuliza, maana hizi simu za picha nyingi zimeingia 2011 mwishoni, 2012...
Mimi Tecno P3 yangu nilinunua 2012...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sema wewe ndio ulichelewa kumiliki simu zenye camera ila zimekuwepo sana tangu 2005s mfano wakati huo kulikua na Samsung l series zote zilikua na camera.Ndio najiuliza, maana hizi simu za picha nyingi zimeingia 2011 mwishoni, 2012...
Mimi Tecno P3 yangu nilinunua 2012...
Sent using Jamii Forums mobile app