Nilimezwa na chatu mwaka 2008

Da kama ni kweli pole sana Mkuu ila pia we chuma kweli kweli
 
Humu kweli tumetofautiana yaani simu ya kamera umeanza kuiona 2008?
Nikiwa darasa la tatu. Before hapo nilikuwa naziona flip phone za Samsung ziko vizuri lakini sikumbuki kunotice camera. Siemens na Nokia nilizokuwa naona hazikuwa na camera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…