Nilimezwa na chatu mwaka 2008

Mkuu mimi 2004 ndio nilimaliza degree, inamaana wewe hata mtandao wa tritel na celtel hujawahi kuisikia
Celter niliiona mbona, Tritel nilikuja kuisoma pamoja na Buzz. Wakati Zain inaireplace Celtel nilikuwa na akili za kunitosha kutambua hicho kitu, i think around 2009 hivi. Wakati hata uchaguzi wa Marekani 2008 na vita ya Georgia nilivielewaelewa.
 
Hata siku moja chatu hamezi kitu kuanzia miguuni" na sio chatu tu, mnyama yeyote anaemeza ni lazima aanzie kichwani

Sent using Redmi Y2
 
Shetani ushatazamana nae kwa karibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbeya karibu na reli ya tazara maeneo ya kambi ya jkt mbeya walikuwa na huo mtindo zamani wanapiga picha matukio halafu wanauza picha
Duuh...! Pole sana mkuu. JKT ya mbeya uyole unaifahamu kweli ilipo?. Mbona sio maeneo yenye kufikiwa na maji?. Halafu ni katikati kiasi kwamba chatu alitokea upande gani mkuu?. Maana ni kama hamna poli. Labda ungesema nyuma ya sec ya mbeya day kuna mto kule na vichaka pembeni ya mto. Isitoshe kule tuliwahi kusikia kuna chatu anapita maeneo yale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee chatu ili akumeze ni lazima awe amejiviringisha kwenye mwili wako sasa unasemaje hujaona uongo? Kwahiyo unataka useme chatu ana mbio kuliko binaadam? Kilichomfanya asikimbie ni nini ikiwa chatu hajajiviringisha kwenye mwili wa jamaa?
Kuhusu kummeza kabla ya kujiviringisha sijui mzee, ila najua anajiviringisha ili kuuwa, sa Kuna probability akijua kimekufa au kinakarbia kufa anaweza kula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwez kumkimbia chatu mstuni
Ni mrefu adi umuone na atake kukuattack inamaana iko katika strike distance take

Shida ni sijawai kuona au kusikia chatu kumla mtu mzima
Otherwise ni mdogo sana
Mzee chatu ili akumeze ni lazima awe amejiviringisha kwenye mwili wako sasa unasemaje hujaona uongo? Kwahiyo unataka useme chatu ana mbio kuliko binaadam? Kilichomfanya asikimbie ni nini ikiwa chatu hajajiviringisha kwenye mwili wa jamaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JKT Itende??!!!!! Mbona ipo mbali sana na reli ya TAZARA?????

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye anazungumzia JKT ya hapa opposite na shamba la kilimo uyole,upande wa chini kuna reli hiyo inayopita juu barabara hapo 8,8. Ndio nimemuuliza mbona hakuna poli hata upande wa relini kuna watu wengi wamejenga kule,na hakuna mto,chatu alitokea wapi kule?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…