Nilimfadhili huyu mwanamke lakini aliyoyatenda ni ajabu

Wewe ni fala!
 
Nenda kaseme kwa mod nimekuita fala.
 
Hadithi nzuri ila mkuu unataka ushauli upi? KWA maana naona unalalamika Lakin hufunguki
 
Ila kwa maneno machache tu wewe ni mtu uliyepigwa muhuri wa moto usoni wenye chapa yenye andiko ZUNDE
 
Yani mwanaume yeyote akiwa kama wewe ni lazima yaani lazima aumie kwenye mapenzi.
Huko kupenda kupitiliza sijui mnalishwaga nini mpaka mnakua hivyo aisee. Yaani si ajabu familia yako hujawahi kuonesha unaijari kama unavomjali huyo aliyekua mpenzi wako.

Hakuna mwanamke ambaye ataacha kumtesa na kumnyanyasa mwanaume zoba hakuna kabisa.
 
watu wanaotokea kigoma tena wanawake wa huko.

pole sana
hebu nole siri ya hawa wanawake. Maana mi nilimpata mmoja na kumfadhili kwa kila hitaji lake lakini ni kama hawana shukurani. Nikaamua kumkaushia. baada ya muda akarudi ili nimsaidie kama mpeziwe wa zamani. Nilimsaidia ila sikuonyesha kumhitaji tena na sijamtafuta tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…