Nilimfuma Ticha na Padre!!


Mtoto wa kiume na umbea ni tofauti kabisaaaaaaa!!!! Kwa umbea wako huo nakuzawadia wimbo uitwao EPUKA JAMBO LISILOKUHUSU ulioimbwa na ddc mlimani park
 
Naogopa kumwaga ushahidi hadharani coz ya huyo Ticha wangu dats y naomba ushauri 2!!

Kuna namna mtu anaandika unajua umri, jinsia yake na fikra zake zilivyo kwa hio hamna haja ya kumshambulia

 
Teh, teh, unanikumbusha hadithi ya mfalme ana masikio kama ya punda.
 

sasa huo u-engineer uliupata lini wakati ndiyo kwanza unagraduate form four
 
Mapengo yako too much.

Hao wote ni binadamu kama wewe. Usiyashangae mapungufu yao. Na wewe unayo au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…