Baba Mtu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2008
- 870
- 170
Mamboz vipi wana JF!!!
Hivi majuzi wakati nipo kwenye graduation ya 4m4 kwenye ukumbi maarufu the Rocky City nilichoka kucheza muziki nikaamua kupumzika ndani ya kibanda kimoja wapo!
Wakati naingia nilish2ka kumkuta TICHA wangu wa English na PADRE wa kanisa takatifu wakinywa na kupigana makiss motomoto!
Nilibaki nimepigwa butwaa nikaitwa kujumuika na kupewa mshiko wa maana ninyamaze kimya!!!
Ingekuwa wewe unge2nza siri??!!
Mtoto wa kiume na umbea ni tofauti kabisaaaaaaa!!!! Kwa umbea wako huo nakuzawadia wimbo uitwao EPUKA JAMBO LISILOKUHUSU ulioimbwa na ddc mlimani park