Mamujay
Senior Member
- Dec 24, 2022
- 149
- 345
Wazee hakuna binadamu amezaliwa na roho mbaya tunafundishana nimeamini.
Leo ndoa haikaliki kisa tu msaada na huruma yangu iliniponza, kiukweli nilimla siku 1 ila sasa anaharibu nyumbani. Hela yangu ameshanilipa sasa balaa ni hapo anasema nilimhonga na anatamba kwa mke wangu yeye ni mke mwenza na hatuna mawasiliano.
Hivi mtu kama huyu nimfanyaje?