Nilimlingana BWANA kwa maombi ya Tabesi, naye akasikia kilio changu, akanitajirisha


MITHALI 10:22
"Baraka ya BWANA hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo."

Utukufu umrudie yeye Mungu mwenye enzi
 
Unajali maadui? Waambie wapambane pia
 
Mwambie anakosea kufanya ivo....pia awe na shukrani...akipewa mara Moja inatosha
 
Mwambie anakosea kufanya ivo....pia awe na shukrani...akipewa mara Moja inatosha
Jumamosi aliniomba hela ya kusuka sh 50,000, nikamrushia 30 nikamwambia sina hio 20 atafute kwingine, jumapili kaniomba vocha, nikamrushia 5000, jana kaniomba nauli ya kwenda kazini kwake nikampa 10,000. Sasa muda si mrefu kameingia kaujumbe kake, baby nikwambie kitu, nimejikausha kama sanamu ya askari
 
Isije ikawa unatania? 🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu mimi sitaki nikuombe hela ina naomba connection tu ya kazi

Nimesomea mambo ya afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…