Nilimlingana BWANA kwa maombi ya Tabesi, naye akasikia kilio changu, akanitajirisha

Nilimlingana BWANA kwa maombi ya Tabesi, naye akasikia kilio changu, akanitajirisha

Si kazi ya Mungu kutajirisha watu!
Mungu ameumba Dunia na vyote vilivyomo Ili mwanadamu Aishi na kufanya shughuli
Afanyae bidii atafanikiwa

Nikukumbushe! Kila atajirikaye anawajibika kuutoa utajiri wake Kwa maskini
 
Back
Top Bottom