Nilimlingana BWANA kwa maombi ya Tabesi, naye akasikia kilio changu, akanitajirisha

Hizi connections na sisi tunahitaji pia.
 
Congole kwako
 
Tuma hayo maombi ya Yabesi tuyaone kama hutajali Ili wengine nao tuombe.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Tuma hayo maombi ya Yabesi tuyaone kama hutajali Ili wengine nao tuombe.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Maombi ya Tabesi ni nini?
 
Adui mkubwa ni ccm, akiitumia Serikali yake, maana wao umasikini, ujinga na maradhi sio adui yao siku hizi, bali rafiki yao na mwenza wa kuwapa kura(za wizi/ulaghai)!
 
Ni YABESI SIO TABESI
Mwenye Enzi Mungu ni mwingi wa rehema na ni mwaminifu sana walahi !
 
uwe umesema ukweli au vinginevyo, nilichokuwa na uhakika ni kwamba, Mungu yupo, na anajibu Maombi. yale aliyoahidi kuyafanya hua anatimiza kwa hakika. ametuagiza tuombe, maombi ni jambo la lazima na linatupeleka karibu na Mungu kwasababu tunakuwa tunaongea na Mungu na ndio uhusiano ambao Mungu anataka kati yetu na yeye. usiache kuomba na kama haujaanza, anza kuomba na kutafuta uso wa Mungu maadamu anapatikana. zinaweza zikaja siku ambazo utakuwa mgonjwa, huwezi hata kunyanyua ulimi hata kumwomba Mungu, au unaweza kufa ghafla nje ya Mungu ikawa hasara kwako. Jina la Bwana libarikiwe.
 
Adui mkubwa ni ccm, akiitumia Serikali yake, maana wao umasikini, ujinga na maradhi sio adui yao siku hizi, bali rafiki yao na mwenza wa kuwapa kura(za wizi/ulaghai)!
Nimecheka sana
 
ukiwa na pesa mingi hawakawii kukuita freemason hao ndio wabongo.ukiwa fukara watakusema kwa mabaya na majina mengi ya hovyo.ukitajirika pia watakusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…