Nilimpenda dada mtu, ila mdogo wake nimempenda zaidi

big dreamer

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
399
Reaction score
1,076
Habari wakuu,

Nimekuja kwenu kutaka ushauri kuna dada hapa mtaani kwetu aliamia ni kama miezi miwili ilipta ni mzuri kiukweli na sikuwahi kumuona dume linakuja kwake hivyo hisia zikanambia atakuwa hajaolewa na ikibidi yupo single na ni mwajiriwa huyo binti, nikaanzisha mazoea nae kimtindo tukawa tukikutana tunataniana na kusalimiana fresh kabisa, siku 1 mzee nikajitosa kutupia ndoano lakini mrembo akanijibu vizuri tu kuwa anamtu wake ila yupo mkoani na wapo serious sana na penzi lao akanionyesha hadi picha zao kwenye cm,basi nikasema poa hauenda sio ridhiki yangu.

Sasa baada ya mda kidogo yule mrembo akatembelewa na mdogo wake sasa huyo dogo mtu ndio mkali hatari ,mzuri, shape ipo na wote ni watulivu hawana mambo meng sana,sasa huyu mdogo mtu ntamuelewa zaidi na bahati nzur kuptia kusalimiana miana na dada ake bas nae tukazoeana fasta tu na hadi namba tukabadilishana kunasiku tukachat WhatsApp nikamuhuliza marital status yake akanambia yupo single, nikafurah kusikia hivyo, sasa hii pisi nimejikuta nimeielewa zaidi kuliko hata dada mtu yani huyu ndo nmempenda, sasa najiuliza je
kwa tamaduni za kitanzania, naruhusiwa kumtongoza hii pisi kali ilihali niliwahi mtongoza dada yake?

Kama dada yake kamwambia kuwa niliwahi mtongoza,alafu nikimtongoza nae itakuwaje? Sitaambulia matusi?

Naombeni ushauri wenu wakuu asanteni
 
Hata huyo mdogo mtu atakupiga chini... ovaaa.
 
Daah..wanaume tunapitia mateso sana..nilipata mtoto mmoja hivi miss bantu kafunga vilivyo..

Siku ananitambulisha na kunikutanisha na dadake dooh dooh...dadaake alikua ni mara mbili yake sio kwa ule mzigo.

Niliwaza kutaka kumpiga chini dogo ni hamishe kambi kwa mkubwa..sema mkubwa alikua short chasis.

Nikaona nipige chini hiyo project.

#MaendeleoHayanaChama
 
Duuh hii hali ilinipitia hata mimi, ilibidi niachane na demu wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Nimekuja kwenu kutaka ushauri kuna dada hapa mtaani kwetu aliamia ni kama miezi miwili ilipta ni mzuri kiukweli na sikuwahi kumuona dume linakuja kwake hivyo hisia zikanambia atakuwa hajaolewa na ikibidi yupo single na ni mwajiriwa huyo binti, nikaanzisha mazoea nae kimtindo tukawa tukikutana tunataniana na kusalimiana fresh kabisa, siku 1 mzee nikajitosa kutupia ndoano lakini mrembo akanijibu vizuri tu kuwa anamtu wake ila yupo mkoani na wapo serious sana na penzi lao akanionyesha hadi picha zao kwenye cm,basi nikasema poa hauenda sio ridhiki yangu.

Sasa baada ya mda kidogo yule mrembo akatembelewa na mdogo wake sasa huyo dogo mtu ndio mkali hatari ,mzuri, shape ipo na wote ni watulivu hawana mambo meng sana,sasa huyu mdogo mtu ntamuelewa zaidi na bahati nzur kuptia kusalimiana miana na dada ake bas nae tukazoeana fasta tu na hadi namba tukabadilishana kunasiku tukachat WhatsApp nikamuhuliza marital status yake akanambia yupo single, nikafurah kusikia hivyo, sasa hii pisi nimejikuta nimeielewa zaidi kuliko hata dada mtu yani huyu ndo nmempenda, sasa najiuliza je
kwa tamaduni za kitanzania, naruhusiwa kumtongoza hii pisi kali ilihali niliwahi mtongoza dada yake?

Kama dada yake kamwambia kuwa niliwahi mtongoza,alafu nikimtongoza nae itakuwaje? Sitaambulia matusi?

Naombeni ushauri wenu wakuu asanteni
Kaka mkubwa achana naye huyo atakuzingua kama dada yake. Nirushie namba zake mimi.
 
Mbona mchezo umeisha dada mtu ana mtu nenda kwa mdogo mtu na toka mwanzo mtumie dada mtu kumpata yani awe referee wako...akikubania ujue na wewe alikuweka kwenye mizani ya potential 🔥
 
Siku nyingine unatongoza tu yeye mwenyewe ndo ataamua kama ana mtu au lah usipende kuiuliza pc hilo swali..aya ameshakuambia yupo single kaza kijana.
 
Unakosea Sana mkuu,

Approach za kutongoza wanawake zishapitwa sana na wakati.

Tengeneza tu mazingira umlale,
Baada ya hapo kaa nae apo kitandani mjadili mnaboresha vipi hilo penzi lenu.
 
Anza na Dada ke mweke ndani mengine automatic yatarejea niamini Mimi Ila mfungo bado upo
 
Back
Top Bottom