Nilimpenda lakini...........eti siaminiki......

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Yaani kuna binti mmoja wa kisukuma....................roho yangu ilimzimia sana enzi zangu zile zilipendwa....................nikashindwa kuvumilia nikamgongea hodi kuwa twende matanuzi kidogo...................akaafiki.........................siku ilipokaribia nikaenda kumjua khali kuona kama ile mipango bado ipo kwenye mstari...........................nilipomfikia nikakuta kaweka bonge la "X" usoni mwake na mazungumzo hayakwenda vyema................kila kitu akawa anapangua....................na ahadi ya matanuzi hakutaka hata kuiongelea.........

baada ya hapo nikamtafuta best wake mmoja kumwuulizia........mbona mwenzie kapatwa na kigugumizi baada ya muda mfupi hivyo?........hakunificha akasema yaani nimemuudhi sana mwandani wake baada ya kupata habari zangu nyeti kuwa siaminiki....................................kiviipi?...................hadi leo sijapewa maelezo..................kwa shingo upande ilibidi niachie ngazi....................nilikuwa teja wa majungu hapo......................
 
Owwwkeyy.

Siku hizi unaaminika?

naogopa kujipima..................si wajua mwamba ngoma huvutia kwake................yabidi nipimwe na wengineo........
 
Owwwkeyy.

Siku hizi unaaminika?

yaani nawe kweli umekwisha kunihukumu kama wale waheshimiwa kuwa ............."siku hizi ninaaminika?"

ikimaanisha kuwa enzi zile nilikuwa siaminiki........................wakati hata mimi sijui nilikuwaje vile...
 
yaani nawe kweli umekwisha kunihukumu kama wale waheshimiwa kuwa ............."siku hizi ninaaminika?"

ikimaanisha kuwa enzi zile nilikuwa siaminiki........................wakati hata mimi sijui nilikuwaje vile...

Swali langu halimaanishi kwamba na mimi naunga tela, nnachotaka kujua ni kama sasa hivi wapo wanaosema "HUAMINIKI"
 
Mpotezee kwani ungekuwa nae ingekuwa vita kila uchao.
OTIS

hata mimi huwa ninamshukuru kwa sababu akupendaye atakuamini tu bila ya kujali porojo za mtaani...........
 
Swali langu halimaanishi kwamba na mimi naunga tela, nnachotaka kujua ni kama sasa hivi wapo wanaosema "HUAMINIKI"

wakuniuma sikio bado sijampata...............ingawaje sasa ni mchovu sidhani kama yupo mwenye hizi ngebe tena........
 
Tuko wengi ambao muonekano wetu hutufanya tusiamike. Nilitoswa na Binti mmoja wa SUA sababu hizo hizo
 
Tuko wengi ambao muonekano wetu hutufanya tusiamike. Nilitoswa na Binti mmoja wa SUA sababu hizo hizo

ila usisikitike ujue Mola ana mipango kamambe na wewe.........na huyo angelikuwa pasua kichwa........
 
Muonekano wako ukoje?

itakuwa haaminiki........................a victim of a bad boy image...................a manifestation of a hit and run syndrome.......or rumourmongering
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…