Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Yaani kuna binti mmoja wa kisukuma....................roho yangu ilimzimia sana enzi zangu zile zilipendwa....................nikashindwa kuvumilia nikamgongea hodi kuwa twende matanuzi kidogo...................akaafiki.........................siku ilipokaribia nikaenda kumjua khali kuona kama ile mipango bado ipo kwenye mstari...........................nilipomfikia nikakuta kaweka bonge la "X" usoni mwake na mazungumzo hayakwenda vyema................kila kitu akawa anapangua....................na ahadi ya matanuzi hakutaka hata kuiongelea.........
baada ya hapo nikamtafuta best wake mmoja kumwuulizia........mbona mwenzie kapatwa na kigugumizi baada ya muda mfupi hivyo?........hakunificha akasema yaani nimemuudhi sana mwandani wake baada ya kupata habari zangu nyeti kuwa siaminiki....................................kiviipi?...................hadi leo sijapewa maelezo..................kwa shingo upande ilibidi niachie ngazi....................nilikuwa teja wa majungu hapo......................