contask
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 780
- 1,579
Habari wakuu
Niende moja kwa moja kwenye mada kuu
Kama ilivyo desturi ya mwanadamu ya kufuga wanyama pendwa kama vile paka,mbwa na ndege kama kasuku
Siku za nyuma nilikutana na tukio la ajabu kuhusu paka
Mnamo kipindi flan wakati nipo mkoa X ,nilibahatika kuwa na mahusiano na mdada mzuri sana ,ambae nyumbani kwao alikua akiishi na mama ake na ndugu zake wawili wenye umri chini ya miaka 12
Katika siku ya juma tatu mdada aliamua kunialika nyumbani kwao kwa maana mama ake ni mwalimu na ndugu zake ni wanafunzi kwa mantiki hiyo nyumbani kwao alibaki peke ake
Niliitikiaa wito kwa bashasha,tuliketi na kupiga stori kadhaa,na ilivyo tabia ya nature me na ke wakikaa sehemu moja lazima kutakua na romantic activities
Wakati mambo ya kiromantic yanaendelea nilistuka ghafra kwa kumuona paka huyo akichungulia kupitia dirishani pia nidhamu ya uoga iliinza kunitawala
Na baada ya hapo nilifanikiwa kumpiga picha ,mbaya zaidi wakati naondoka alikua ananingalia kwa macho ya kijasusi,
wakati sina roho ya uoga nilimshika paka huyo na kufanikiwa kumpiga picha ya pili. Baada ya muda flani nikawaza huyu paka atakua jasusi,
Naamini kabisa angekua na mwili kama wa mbwa angenijeruhi
#uzi bila picha sio uzi tena