Nilimpiga Paka picha lakini aliniangalia kwa macho ya kijasusi

Nilimpiga Paka picha lakini aliniangalia kwa macho ya kijasusi

Namfahamu huyo nyau.

Ni Agent wa mosad.

Anawatafuta wa Iran.
 
Hata kama ni tabia ya paka asingetakiwa kua na cocentration kubwa vile pia na sura ya hasira kama hajapendezwa na ugeni wangu
 
Paka ni mnyama mchunguzi au tuseme anasoma hisia zetu, mfano anaweza kujua mtu katili ambaye anampiga piga , kila akimuona lazima amkimbie, na mtu mwema lazima aje kwako anakuja kulala karibu yako
kwahiyo alikua anatuchunguza
 
Back
Top Bottom