#COVID19 Nilimpinga Hayati Magufuli kwa mengi, ila kwenye COVID-19 labda alikuwa sahihi

#COVID19 Nilimpinga Hayati Magufuli kwa mengi, ila kwenye COVID-19 labda alikuwa sahihi

Mkuu covid 19 ipo na inaua watu kwa mamia,acha politics kwenye issue za science,pls have a jab kama bado hujapata na usisahau kuvaa mask,osha mikono yako kwa sabuni in a running water au sanitize,President JPM alikua anataka kuangamiza taifa kwa covid,kuhusu fedha hata utawala wa President Magufuri ulitengeneza pesa nyingi mno kwenye PCR certificates (@100usd)na mpakaleo hutujaambiwa kiasi gani kilikusanywa na pia why aliweka kiwango kikubwa mno wakati nchi haina corona?
Wapi huko ulipo wewe ambapo Covid inaua watu kwa mamia?
 
Binafsi sikuwa mfuasi wa sera, mitizamo na style za kuongoza za Rais Magufuli. Nilimpinga waziwazi na sikuacha kutoa nyongo pale nilipoona anafanya mambo ambayo siyo, hasa yale ya kutumia madaraka yake vibaya na kuvunja sheria alizoapa kuzilinda.

Lakini lilipokuja suala ya ugonjwa wa COVID-19, kuna misimamo aliichukua ambayo inawezekana aliichukua kujilinda yeye na utawala wake usianguke ila upande wa pili wa shilingi, inawezekana baadhi ya misimamo ile ilikuwa sahihi kwa maslahi mapana ya nchi.

Hivi sasa, mataifa ya Magharibi yanamwaga mapesa ya misaada ya kutisha hapa Tanzania. Hii yote imekuja baada ya sisi kukubali kubadilisha misimamo na mitazamo yetu kuhusu ugonjwa wa COVID-19.

Naona kama kwa serikali ya Rais Samia kufanya kilichofanya, kuna mambo kama nchi tumeyapoteza na tunaweza tusije kuyapata tena.

Kwenye maeneo mengine nadhani Magufuli alikuwa anaiharibu nchi hata kama alikuwa ana nina nzuri. Huo utaendelea kubaki kuwa msimamo wangu.
Kadi yako ulichukulia tawi gani kati ya Lumumba au Kisiwandui?
 
Naweka wazi mimi ni aina ya watu kama aldof hitrer....

Namnukuu chancellor Otto von Bismarck "The great questions of the day will not be settled by means of speeches and majority decisions but by iron and blood."

Mkuu kubali kataa Magufuli alikua na Mazuri na mabaya yake......

Naamin magufuli ni binadamu Tena alie kulia maisha ya chini kabisa....

Wewe tukana tuu mkuu....mtu kama wew enzi za Regime unatafutwa mpk nyuma ya keyboard unapewa maumivu......

Lazima tukubaliane hii dunia tunayo iona haijajengwa na POOR MIND AU AVERAGE MIND.......bali ni GREAT MIND

Watu wa aina yangu Huwa tuna amin tupo sahihi kwenye KILA kitu....
Huwa hatutaki kupingwa...Huwa hatupendi wajuaji....

Kuna mambo MAGUFULI alikosea nakubaliana na wengi na hata mimi nilimpinga....

Ila niweke wazi MAGUFULI na mimi tunafanana Sana kitabia.... Hadi ushamba...hata watu huniambia....
Peleka upumnafu wako huo kwenye familia yako, maskini mkubwa unaringia ukatili.
 
Peleka upumnafu wako huo kwenye familia yako, maskini mkubwa unaringia ukatili.
Unaweza kuthibitisha.......hayo
mkuu itoshe kusema it's over between us....

Tukisimama mimi na wewe kuonyeshana Achievement na mafanikio ya maisha binafsi.....Utakacho nishinda ni UJINGA TU

Pengine hato tokea kama MAGUFULI lakini jamaa alituonyesha show..........
 
Pengine hato tokea kama MAGUFULI lakini jamaa alituonyesha show..........
Ni kweli hatuwezi kuruhusu Mrundi mwingine aje atuharibie Nchi yetu.

It is totally INSANE kumshabikia mtu anaiba kura zote za Serikali za Mitaa mwaka 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 na anaweka wabunge anaowataka yeye. Bado misukule yake kama am 4 real inatujazia pumba humu
 
Kwenye suala la covid musiwe mnamhusisha magufuli, angelikuwepo unadhani asingeruhusu chanjo!!! Wabongo bwana.
 
We all can only be what are ,no more no less.

And our dear departed was a tyrant from whichever angle you choose to view him.

R I P Jack Kennedy
 
Kama unauwezo mdogo ni ngumu sana kumkubali Mwamba shujaa wa Africa Mwanamageuzi lahiri daktali Mh. JPM. who living longer and rebirth million of millions of Tanzania,Africa and world in general
 
Ni kweli hatuwezi kuruhusu Mrundi mwingine aje atuharibie Nchi yetu.

It is totally INSANE kumshabikia mtu anaiba kura zote za Serikali za Mitaa mwaka 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 na anaweka wabunge anaowataka yeye. Bado misukule yake kama am 4 real inatujazia pumba humu
Mkuu hayo KILA mpenda democracia hakuyapenda.......hata mimi sikuyapenda...
 
Back
Top Bottom