The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,147
Wapi huko ulipo wewe ambapo Covid inaua watu kwa mamia?Mkuu covid 19 ipo na inaua watu kwa mamia,acha politics kwenye issue za science,pls have a jab kama bado hujapata na usisahau kuvaa mask,osha mikono yako kwa sabuni in a running water au sanitize,President JPM alikua anataka kuangamiza taifa kwa covid,kuhusu fedha hata utawala wa President Magufuri ulitengeneza pesa nyingi mno kwenye PCR certificates (@100usd)na mpakaleo hutujaambiwa kiasi gani kilikusanywa na pia why aliweka kiwango kikubwa mno wakati nchi haina corona?
Sikuwa nikimfahamu.Charles mbowe alipokufa je
Kadi yako ulichukulia tawi gani kati ya Lumumba au Kisiwandui?Binafsi sikuwa mfuasi wa sera, mitizamo na style za kuongoza za Rais Magufuli. Nilimpinga waziwazi na sikuacha kutoa nyongo pale nilipoona anafanya mambo ambayo siyo, hasa yale ya kutumia madaraka yake vibaya na kuvunja sheria alizoapa kuzilinda.
Lakini lilipokuja suala ya ugonjwa wa COVID-19, kuna misimamo aliichukua ambayo inawezekana aliichukua kujilinda yeye na utawala wake usianguke ila upande wa pili wa shilingi, inawezekana baadhi ya misimamo ile ilikuwa sahihi kwa maslahi mapana ya nchi.
Hivi sasa, mataifa ya Magharibi yanamwaga mapesa ya misaada ya kutisha hapa Tanzania. Hii yote imekuja baada ya sisi kukubali kubadilisha misimamo na mitazamo yetu kuhusu ugonjwa wa COVID-19.
Naona kama kwa serikali ya Rais Samia kufanya kilichofanya, kuna mambo kama nchi tumeyapoteza na tunaweza tusije kuyapata tena.
Kwenye maeneo mengine nadhani Magufuli alikuwa anaiharibu nchi hata kama alikuwa ana nina nzuri. Huo utaendelea kubaki kuwa msimamo wangu.
Bamutu bakongo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Baelezee
Ni nani huyo? Na anapambanaje na corona kwa picha hiyo?View attachment 2037510
Wasio waongo na wanaopambana kwa dhati na Covid ni huyo hapo juu ana barakoa km zote yaani
Peleka upumnafu wako huo kwenye familia yako, maskini mkubwa unaringia ukatili.Naweka wazi mimi ni aina ya watu kama aldof hitrer....
Namnukuu chancellor Otto von Bismarck "The great questions of the day will not be settled by means of speeches and majority decisions but by iron and blood."
Mkuu kubali kataa Magufuli alikua na Mazuri na mabaya yake......
Naamin magufuli ni binadamu Tena alie kulia maisha ya chini kabisa....
Wewe tukana tuu mkuu....mtu kama wew enzi za Regime unatafutwa mpk nyuma ya keyboard unapewa maumivu......
Lazima tukubaliane hii dunia tunayo iona haijajengwa na POOR MIND AU AVERAGE MIND.......bali ni GREAT MIND
Watu wa aina yangu Huwa tuna amin tupo sahihi kwenye KILA kitu....
Huwa hatutaki kupingwa...Huwa hatupendi wajuaji....
Kuna mambo MAGUFULI alikosea nakubaliana na wengi na hata mimi nilimpinga....
Ila niweke wazi MAGUFULI na mimi tunafanana Sana kitabia.... Hadi ushamba...hata watu huniambia....
Unaweza kuthibitisha.......hayoPeleka upumnafu wako huo kwenye familia yako, maskini mkubwa unaringia ukatili.
Ni kweli hatuwezi kuruhusu Mrundi mwingine aje atuharibie Nchi yetu.Pengine hato tokea kama MAGUFULI lakini jamaa alituonyesha show..........
Unaweza kuthibitisha.......hayo
mkuu itoshe kusema it's over between us....
Tukisimama mimi na wewe kuonyeshana Achievement na mafanikio ya maisha binafsi.....Utakacho nishinda ni UJINGA TU
Pengine hato tokea kama MAGUFULI lakini jamaa alituonyesha show..........
Mkuu Sote tutamfuata... siku Moja isiyo kua na jina....Basi mfuate kaburini,
Mkuu hayo KILA mpenda democracia hakuyapenda.......hata mimi sikuyapenda...Ni kweli hatuwezi kuruhusu Mrundi mwingine aje atuharibie Nchi yetu.
It is totally INSANE kumshabikia mtu anaiba kura zote za Serikali za Mitaa mwaka 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 na anaweka wabunge anaowataka yeye. Bado misukule yake kama am 4 real inatujazia pumba humu
Now we can agree and proceed amicablyMkuu hayo KILA mpenda democracia hakuyapenda.......hata mimi sikuyapenda...