TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Nilimsikia Inspekta Haroun akihojiwa ITV Jumapili iliyopita usiku, aliongea kwa akili na alionyesha ukomavu. Tofauti na wasanii wengine niliowahi kuwasikia, hakuwa analalamika au kuponda wenzake, na majibu yake yalionyesha kuwa ni mtu ambaye kichwa chake kipo safi.
Nafurahia ujio wake, mimi sisikilizi kabisa hii miziki ya hawa mnaowaita kizazi kipya, wavaa hereni, pedals, skin tights na wakata viuno.
Nafurahia ujio wake, mimi sisikilizi kabisa hii miziki ya hawa mnaowaita kizazi kipya, wavaa hereni, pedals, skin tights na wakata viuno.