TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Inspekta kama InspectaNilimsikia Inspekta Haroun akihojiwa ITV Jumapili iliyopita usiku, aliongea kwa akili na alionyesha ukomavu. Tofauti na wasanii wengine niliowahi kuwasikia, hakuwa analalamika au kuponda wenzake, na majibu yake yalionyesha kuwa ni mtu ambaye kichwa chake kipo safi.
Nafurahia ujio wake, mimi sisikilizi kabisa hii miziki ya hawa mnaowaita kizazi kipya, wavaa hereni, pedals, skin tights na wakata viuno.
Hao ndio waliochora ramani ya muziki nchini - Bongo Flava, heshima kwao.Muda haurudi nyuma, msihangaiike.
Hao ndio waliochora ramani ya muziki nchini - Bongo Flava, heshima kwao.Muda haurudi nyuma, msihangaiike.
Na bado tunazipenda.Hakuna cha ujio wake. Huyo yupo kwenye kapu la zilipendwa. They will never come back
Jamaa wameacha LegacyHao ndio waliochora ramani ya muziki nchini - Bongo Flava, heshima kwao.