Wakuu humu ndan nna swali langu.
Kuna manzi nilimtongoza mda flan kipindi tuko chuon akanichomolea akaniambia kuwa ana mtu tayar ss nikamute kwa muda ikatokea wakat huu tupo field wote tumeenda sehemu moja yaan anataka kila nikiwa natoka home kwenda kule ofisini anataka tuwe tunatembea wote
Pia kila tunaporud anataka turudi wote mpk ananielekeza nyumban kwao mara anataka mpk ajue home kwetu jaman nipen ushauri hapo inakuwaje nianze kumwambia tena masuala ya mahusiano au nivunge au sometimes ni dalili ya kwamba kaeleweka au vip wakuu?