Nilimtongoza akanikatalia sasa hivi anataka niwe natembea naye kila sehemu

Dullah694

Member
Joined
Jan 20, 2021
Posts
32
Reaction score
58
Wakuu humu ndan nna swali langu.

Kuna manzi nilimtongoza mda flan kipindi tuko chuon akanichomolea akaniambia kuwa ana mtu tayar ss nikamute kwa muda ikatokea wakat huu tupo field wote tumeenda sehemu moja yaan anataka kila nikiwa natoka home kwenda kule ofisini anataka tuwe tunatembea wote

Pia kila tunaporud anataka turudi wote mpk ananielekeza nyumban kwao mara anataka mpk ajue home kwetu jaman nipen ushauri hapo inakuwaje nianze kumwambia tena masuala ya mahusiano au nivunge au sometimes ni dalili ya kwamba kaeleweka au vip wakuu?
 
Usimwambie kuhusu mambo ya relationship ama kutaka kuwa nae Tena atakuona fara wewe Mwambie siku Moja aje Geto kwako na kama akija kweli basi Ushindwe wewe tu Hapo
 

Dullah694 acha mambo yako buana😃😃 kuna kitu kizuri ambacho hukumwambia... bembeleza. Utamwelewa tuu☺☺☺
 
Kabla hatujakushauri, tuambie kwanza pesa ya nauli na lunch atakuwa anatoa nani mkiwa mnatembea pamoja? Kisha tutakushauri vizuri.
 
Amejipatia bodyguard wa bure. Una provide huduma ya security bila wewe kujijua. Kuna boya anadanganywa kwamba wewe ndio unakula mzigo
 
Zingatia masomo dogo,huyo anataka kutumia pesa zako za field tu
 
Mke wa kuowa wewe bado yupo primary school au secondary school.

Hapo umegeuzwa option tu lakini mwenyewe yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…