Nilimtongoza akanikatalia sasa hivi anataka niwe natembea naye kila sehemu

Tofautisha... au basi
 
Huo ndio umri ambao either uharibikiwe au uandae good future, uamuzi ni wako kupanga ni kuchaguwa.

Yote unayoyaona Leo ni ubatili mtupu, ukimaliza masomo na kujiajiri au kuajiliwa hao watakuja wenyewe automatically bila kutumia nguvu yoyote.
 
Doooooh, kweli bin adam tumetofautiana aisee 😆😆😆
 
Watoto wa chuo bhana! Badala ya kuwaza shughuli ya kukuingizia kipato mara baada ya kuhitimu chuo, wewe unawaza mambo ya kijinga tu.
 
Muda wa kula nani analipia!?

Nauli nani analipia!?

Vitu vidogo vidogo nani analipia kama ice cream, biscuits, etc.
 
Usivunje urafiki.

Usimtongoze Tena

Mmefikia magetoni au hiyo field mnafanyia mkitokea kwenu?
 
Usimwambie kuhusu mambo ya relationship ama kutaka kuwa nae Tena atakuona fara wewe Mwambie siku Moja aje Geto kwako na kama akija kweli basi Ushindwe wewe tu Hapo
Hii comment imefunga mjadala kabisa. Huyo umkule tu bila kuzungumza nae kitu chochote Kuhusu kumtongoza tena.
 
Stuka mkuu mwishoe utaitwa BFF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…