Nilimtongoza kanikataa jana kaona natoka na demu Gheto leo kaja kunimaindi

Mdada anapenda mfn mm nikitongozwa hata nisipokupa jibu uonyeshe nia yakunitaka yaan nibembeleze tu ukiniona u do as if useless without me hapo ntajua this guy ananipenda. Now ww ulifanya haraka sana
Hahaaaaa....
Kubembeleleza mwisho mara mbili tuu...
Mambo mengi muda mchache dada yangu
 
Huyu demu ni mgeni hapa kitaa ana kama wiki mbili tangu aje hapa kutoka huko jiji la makonda,

Ofcourse ni mzuri kiasi chake, ile siku anafika tu Zero nikaanza mshobokea nikamaintain stutus ya kutokuja na demu yeyote Gheto ili anione mstaarabu,

Kama siku 5 kupita tangu atimbe nikaomba namba jioni nikaanza mtongozo, akasema hawezi nijibu siku hiyo hiyo nikasema sawa,

Kesho yake nikakumbushia akasema nisiwe na haraka atanijibu tu, kama siku 4 hivi kila nikijaribu kukumbushia naona chafu sound zake ni zile zile tu eti nisiwe na haraka, nikaona hakuna muelekeo hapa anataka kubembelezwa huyu nikapotezea,

Sasa jana mchana kuna demu flani hivi nilimtongoza jana yake nikamualika gheto aje kupaona ninapokaa,
Kama kawaida akatimba nikamkamua jioni nikamtoa kumrudisha kwao,

Kumbe yote hayo yule demu aliyekuwa anaringa alikuwa anatuchora tu, na alikuwa anasubiri nigeuke ili anipashe bahati mbaya au nzuri nilipotoka pale nilinyoosha moja kwa moja mpaka kwenye kiwanda changu cha kuchakata viazi kuwa chipsi hivyo nilichelewa kurudi,

Sasa leo Asubuhi sina ili wala lile nimetoa baadhi ya nguo zangu ili nifue namuona huyo,
Akanipa maneno yake pale "ooh sijui nilikuwa simpendi that's why nimemfanyia vile", mara "sijui kwa nini nilishindwa kuvumilia na wakati aliniambia nisiwe na haraka " mara ooh nimemuumiza sana kwani tayari alikuwa ananipenda na kuniamini" na maneno mengine kibao ya kunilaumu utafikiri tayari mimi na yeye tulishakuwa wapenzi.

Kiukweli nilishindwa kumuelewa tena vile alikuwa anaongea kwa hisia kabisa nilishindwa kumjibu chochote,

ila nilimwambia tu aende nitamwita baadae nikimaliza shughuli zangu tuongee kasema sawa.

Naamini atakuja ila mpaka sasa sijui ata nitaongea nae nini.

Cc Zero IQ
BAHARIA USHAWIN NADHANI UNAJUA NINI KINAFUATA NI KUMTULIZA NA UONGO NA KWELI BASI NA PAPUCHI MWENYEWE ATAKUPA HAHAH
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom