Nilimtongoza kanikataa nimemwita gheto tuongee kaja nimemlamba

Nilimtongoza kanikataa nimemwita gheto tuongee kaja nimemlamba

Wanawake wengine bhana, Huyu demu ni wa kutokea hapo singida, Alikuwa anakuja sana hapa kibandani kwangu,

Ni mzuri wa sura mpaka umbo kiasi kwamba na ubaharia wangu wote nilikuwa namgwaya kumtongoza kisa nawaza kama nitatoboa kweli maana muonekani wake ni wa watu wenye magari siyo Vitz, na Passo,

Katika ile kuja kuja nikapiga moyo konde nikaomba namba bila hiyana demu akanipa,
Sikumpa gape Alivyotoka tu muda ule ule nikaanza kumtupia maneno Matamu,
Nilitongoza sana mtoto yule kila Aina ya neno nilisema lakini wapi mtoto akawa anakaza,
Wiki nzima ikakatika zero nikawa nabembeleza kutongoza mtoto anachomoa tu,

Nikasema no sweat kwa kuwa namtongoza kwa simu ngoja nimuombe apointement niongee nae ana kwa Ana uwenda akanielewa,

Kimazabe sana nikamuomba tukutane tuongee akauliza wapi nikamwambia tu aje kwangu,
Kauliza lini nikamwambia kesho ambayo ni jana, muda mchana,
Kweli ilivyofika muda nikamuelekeza napoishi mtoto akaja,

Alovyofika ndani akakaa kitandani tu(gheto kwangu hakuna kochi kuepuka usumbufu) basi nikamkaribisha kinywaji akataka soda nikatoka kwenda kumchukulia,

Nilivyorudi nami nikakaa karibu yake baada story mbili tatu nikatest kumshika nikakuta mtoto hanitoi mikono,
Nikachukua mkono nikaubusu akawa anacheka,
Nikamsimamisha na kumkumbatia kwa nyuma huku mkono nimeshika matiti yake, mtoto amenyuti tu nikasema kaisha huyo,

Nikaanza kumpampasa mara mtoto akaanza kurespond akanipa mdomo nikaanza romance,
Ilivyokolea nikamvua nguo nikamlamba kirahisi tu bila kutumia nguvu wala mtongozo tena.

Alivyotoka sasa yeye ndio ananisumbua mimi na kusema Ananipenda sana, ameshasahau kwamba alinikataa karibia wiki nzima


CC Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaalam embu nipe location na number zake iliaaikusumbue tena mi naoa kbs mnyaturu huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom