ππππππMkuu kama hutonipa namba za huyo dada naomba kutangaza bifu rasmi[emoji23]
Gawa namba mjomba.Ahsante kwa mtazamo wako mkuu.
Asilimia 90 ya wanawake wa kibongo ndio kazi yao hiyo
Sina namba yake kwa Sasa,na hata ningekuwa na namba yake nisingeitoa kwa mtu yeyote yule.Gawa namba mjomba.
Labda asilimia 30 mademu wote niliopita hawataki hata kusikia hiyo michezoAsilimia 90 ya wanawake wa kibongo ndio kazi yao hiyo
Fesibuku,Instagram anajiita nanii?Sina namba yake kwa Sasa,na hata ningekuwa na namba yake nisingeitoa kwa mtu yeyote yule.
Kwenye ilo bifu mimi najitolea kuwa askari wako wa akibaMkuu kama hutonipa namba za huyo dada naomba kutangaza bifu rasmi[emoji23]
Anatumia tecno ya elfu 20,in short yeye si mtu wa mitandaoni.Fesibuku,Instagram anajiita nanii?
πππππποΈποΈπ€Έπ€ΈπKwenye ilo bifu mimi najitolea kuwa askari wako wa akiba
Itafute namba yake alafu tuongee biashara ntainunua kwa mkopoSina namba yake kwa Sasa,na hata ningekuwa na namba yake nisingeitoa kwa mtu yeyote yule.
Namimi nashangaa kwanza haya Mambo yapo dar tu ,huku mwanza ,tarime ,mbeya na rukwa hayapo kabisa ni wachache sana wanaoshiriki,Asilimia 90 hayo mahesabu umeyapataje?
Tuache uwongo jamani!
Ili upatw hiyo 90% lazima ulale na wanawake kama 1000 au 2000 kupata sample..kabla hujafanya conclusion. Tanzania ina wanawake zaidi ya milioni 30 umelala nao wangapi ukapata hiyo hesabu? Au ulienda Tandika ukalala na machangudoa ukaja na conclusion ya Tanzania nzima!
Mkuu weka picha basi ya kusindikizia uzi wako tuone huo mswambwanda umekaaje kaaje tuweze kutathmin na kutolea upembuzi yakinifuSina namba yake kwa Sasa,na hata ningekuwa na namba yake nisingeitoa kwa mtu yeyote yule.
Duh,bro sitaki hatia Mimi,kuipata naweza kuipata tena within a day,ila siwezi hata kidogo kumpa mtu namba yake.Itafute namba yake alafu tuongee biashara ntainunua kwa mkopo
Halafu Kuna mabaharia washanifata inbox ili niwaunganishe,ila hicho kitu sitoweza kufanya hivyo maana naogopa hatia isije kuwa juu yangu mm.Kuna member anaitwa NAWATAFUNA naona anavyomeza mate, anatamani hii fursa angekuwa yeye
Sorry mkuu!Ungemquote mwenye comment yake.Mimi siye niliyesema hayo.
Hautoi kwa mtu yeyote ili ufaidi peke yakoSina namba yake kwa Sasa,na hata ningekuwa na namba yake nisingeitoa kwa mtu yeyote yule.
Ahsante kwa mtazamo wako mkuu.Hautoi kwa mtu yeyote ili ufaidi peke yako
Ukianza HuachiMsimamo wangu Ni huo kwa sasa,ya mbeleni siwezi jua.