Nilimuacha kwa sababu ya kupenda "kuzibuliwa mtaro"

Nilimuacha kwa sababu ya kupenda "kuzibuliwa mtaro"

Asilimia 90 hayo mahesabu umeyapataje?

Tuache uwongo jamani!

Ili upatw hiyo 90% lazima ulale na wanawake kama 1000 au 2000 kupata sample..kabla hujafanya conclusion. Tanzania ina wanawake zaidi ya milioni 30 umelala nao wangapi ukapata hiyo hesabu? Au ulienda Tandika ukalala na machangudoa ukaja na conclusion ya Tanzania nzima!
Namimi nashangaa kwanza haya Mambo yapo dar tu ,huku mwanza ,tarime ,mbeya na rukwa hayapo kabisa ni wachache sana wanaoshiriki,
Ndege wanafanana huruka pamoja,ana date na mdangaji anategemea nini?
 
Kuna member anaitwa NAWATAFUNA naona anavyomeza mate, anatamani hii fursa angekuwa yeye
Halafu Kuna mabaharia washanifata inbox ili niwaunganishe,ila hicho kitu sitoweza kufanya hivyo maana naogopa hatia isije kuwa juu yangu mm.
 
Back
Top Bottom