Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
siongezi mkataba, hiyo subra nmevuta sana mkuu."Acha kazi uone jinsi ilivyo kazi kupata kazi..."
Vuta subra mkuu
hizi kazi siyo za serikali mkuu, alafu usiamini kila unachosikia huko serikalini watu wanapiga km kawa na posho daily.Serekali imeshindwa kuwaongezea watumishi mishahara inawezekana hata boss wako hali yake ni mbaya
Kama una plan B sawa, kama huna plan B sikushauri maana kitaa ni kigumu aiseehizi kazi siyo za serikali mkuu, alafu usiamini kila unachosikia huko serikalini watu wanapiga km kawa na posho daily.
ushauri mzuri sana.Kaa kwenye kazi huku ukitafuta kazi nyingine yenye maslahi.....kuacha kazi kabisa nako ishu kwa hali ya sasa ilivyo..japo kama umejipanga na unauhakika usisaini tu huo mkataba tafuta kwingine kwenye maslahi zaidi
lini kitaani kulikuwa kwepesi?Kama una plan B sawa, kama huna plan B sikushauri maana kitaa ni kigumu aisee
sasa boss wako anapata wapi hela wakati biashara zenyewe siku hizi zinapumilia mashine.Unachotafuta ni kufukuzwa kazi kwa sababu wako wenzako mtaani wako radhi hata kuja hapo kujitolea tuu.maisha yanaenda kasi sana mara paah...huu mwaka ndiyo unaishia.
turudi kwenye mada wakuu,
unajua hawa maboss wa kibongo ni vichomi sana! unamwomba akuongeze mshahara kutokana na kazi unayofanya, kazi inaonekana si rahisi na hujawahi kuharibu kazi hata siku moja.
anakujibu vizuri tu "ntakuongezea but raise is a raise."
unasubiri kuona kama ataongeza... miezi inakata holaa! daah!!! unaendelea kumfwata mara kadhaa na kumwandikia barua lakini majibu ni yaleyale na hakuna nyongeza hata senti!
mkataba umeisha anataka nikasign tena really! huyu boss hakika ni kichaa.
Hakuna sehemu nilikosema kiliwahi kuwa chepesi, ila kuna watu hawajawahi experience ugumu wa kitaa ndiyo uwa tunawakumbusha. Kama wewe unaujua basi ni vizuri utakuwa unafanya move ukiwa tayari na plan.lini kitaani kulikuwa kwepesi?
"Acha kazi uone jinsi ilivyo kazi kupata kazi..."
Vuta subra mkuu
sijawahi mlalamikia boss kuhusu mshahara, ni wajibu na haki kuomba kuongezewa mshahara. na huwa anakubali lakini hatekelezi!sasa boss wako anapata wapi hela wakati biashara zenyewe siku hizi zinapumilia mashine.Unachotafuta ni kufukuzwa kazi kwa sababu wako wenzako mtaani wako radhi hata kuja hapo kujitolea tuu.
Mabosi huwa hawapendi watu walalamishi kama wewe.Kupandisha mshahara ni kazi kubwa sana .Ndiyo maana hata Mh.Magufuli hiki ni moja ya kitu kimemshinda kwa kipindi chote toka awe raisi
Uhaba wa kazi si kibali cha kuwanyonya na kuwanyanyasa wenye kazi.
Mwache aje aonje moto wa jiwe 🙂Kama una plan B sawa, kama huna plan B sikushauri maana kitaa ni kigumu aisee
fursa zipo na zitaendelea kuwepo, tunanyonywa sana mpaka inaboa!Hakuna sehemu nilikosemakiliwahi kuwa chepesi, ila kuna watu hawajawahi experience ugumu wa kitaa ndiyo uwa tunawakumbuhsa. Kama wewe unaujua basi ni vizuri utakuwa unafanya move ukiwa tayari na plan.
joto lipo na litaendelea kuwepo, mimi sio mti lazima nimove.Mwache aje aonje moto wa jiwe 🙂
Basi sawa all the best Mkuu karibu tusongeshe gurudumu la maendeleofursa zipo na zitaendelea kuwepo, tunanyonywa sana mpaka inaboa!
pamoja sanaBasi sawa all the best Mkuu karibu tusongeshe gurudumu la maendeleo
NakaziaUhaba wa kazi si kibali cha kuwanyonya na kuwanyanyasa wenye kazi.