Nilimuomba boss wangu aniongezee mshahara na hakufanya hivyo japo nilimfuata mara 3 ndani ya huu mwaka 2020

You never know maybe huo mkataba unaoitiwa ndio unaongezeko la mshahara.
Cha kufanya we nenda kwa boss wako akikupa mkataba soma kipengele cha renumeration ukiona hakina mabadiliko mchane mkishindwa kuwezana sepa.
 
siongezi mkataba, hiyo subra nmevuta sana mkuu.
Sasa huoni huu ndio muda muafaka wa kunegotiate huo mshahara mpya kwenye kipengele cha kima cha mshahara kwenye huo mkataba mpya...
Ukisusa unadhani hatopata mtu mwenye juhudi na njaa ya kazi kikuzidi wewe huku mtaani!?
 
Fuata moyo wako usifuate Mob Psychology kama Membe πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… Unapoanza watakushangilia wengi baadae wanaanza kujitoa mmoja mmoja
maboss wa kibongo wababaishaji tu
 
Sasa huoni huu ndio muda muafaka wa kunegotiate huo mshahara mpya kwenye kipengele cha kima cha mshahara kwenye huo mkataba mpya...
Ukisusa unadhani hatopata mtu mwenye juhudi na njaa ya kazi kikuzidi wewe huku mtaani!?
ni bora atafute mwingine, kila mtu ashinde mechi zake.
 
ntafanya hivyo madam ila huyu boss nmeshamdharau
You never know maybe huo mkataba unaoitiwa ndio unaongezeko la mshahara.
Cha kufanya we nenda kwa boss wako akikupa mkataba soma kipengele cha renumeration ukiona hakina mabadiliko mchane mkishindwa kuwezana sepa.
 
Hilo shirika/kampuni haina hela.
Hivi ni vigumu kuelewa hilo?
Acha kazi uone mtaani kukoje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…