Nilimuomba boss wangu aniongezee mshahara na hakufanya hivyo japo nilimfuata mara 3 ndani ya huu mwaka 2020

Kama hutaki acha
 
Jiamini, mwambie kabisa kuwa kwa mshahara ule wa awali hauko tayari kusaini mkataba mwingine. Akimwajiri mtu mwingine, kama ulikuwa mchapa kazi atakuja kukuomba kwa unyenyekevu iendelee na kazi.
 
Hongera mkuu

Sisi ajira zimetufunga asee[emoji848][emoji848]
Hahahaha mdogo mdogo nimepiga kazi miaka 20 ni muda ulikuwa umefika wa kupumzika! Ukishafikisha >50 inabidi utafute kipato chako mwenyewe hata siku ukiondoka duniani familia inapo pa kushika!!
 
Hahahaha mdogo mdogo nimepiga kazi miaka 20 ni muda ulikuwa umefika wa kupumzika! Ukishafikisha >50 inabidi utafute kipato chako mwenyewe hata siku ukiondoka duniani familia inapo pa kushika!!
Oooops kumbe!

Sisi ndo tumeingia ajirani vip kunalipa?
 
naona akili za kitumwa humu ndani... raia wanasema serikali hii kuongezwa mshahara sahau, wengine makampuni hayana pesa! yaan wanaongea as if wanajua kumbe hamna kitu kichwani.
 
siongezi mkataba, hiyo subra nmevuta sana mkuu.
Vijana wa kitanzania bwana. Unajiona wa maana hujui kuwa umaana huo huyo boss ndiyo amekufanya uwe hivyo. Serikalini tunakaa miaka mitatu hadi mitano bila nyongeza hata shilingi na bado watu hawaachi kazi. Hujui boss wako anapitia magumu yapi kukupa tu huo mshahara. Sekta binafsi tunapitia wakati mgumu sana kutoa mishahara. Wakati mwingine unatoa hela mfukoni kuwaonea huruma wafanyakazi lakini wao ni mabogas kama hawa.

Hata mwaka haujaisha umeomba mara tatu uongezewe mshahara. Kwanini humu negotiate kabla ya kuanza vizuri.
 
Mmmh hela yako mfukoni?
 
inasikitisha sana! kuomba kuongezwa mshahara ni upotevu wa fedha! huyo boss wa hovyo pia.
 
awamu hii ya 5 Serikalini, hakuna nyongeza iliyotolewa, ila Viwanda na maofisi mengi yamefungwa
ridhika na upatacho Boss wako kaongezewa malimbikizo ya Kodi ulizozikwepesha na mifuko ya kijamii.
Km kazi usichezee chezea mshahara
umejuaje km kaongezewa malimbikizo ya kodi? unazingua Ukwaju
 
hahahahh! haya bhana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…