Nilimuombea Mama huyu apate mtoto wa kiume - amepata!

Wewe ndiye mgeni, sasa maana mpaka leo, hujui tupo tusiamini unachoamini, na tunafanikiwa.
Kwani mimi nimesema hufanikiwi? Hata shetani anafanikiwa sana kuwachinja watu(Yn 10:10)
 
Acha UTAPELI wewe, jinsia kitu chenye 50% kutokea siyo kitu cha kufanyia maombi....
Kama una nguvu za hayo maombi yako twende tukasidie watu wanatafuta FIGO na MAINI.....
Watu wanajiharibia maini kwa kunywa mipombe
 
Acha blah! blah!,,, tapeli tu wewe huna lolote,,, kwahiyo wagonjwa wote mahospitalini hawana Imani?
Hako kachaka ka Imani ndo mnajifichia...
 
Baraka ni ridhaa hata shetani anaweza toa baraka.
Acha kuwa upande wa shetani. Utaangamia pamoja naye motoni. Hujui kwamba shetani anaamini na kutetemeka?
Soma Yakobo 2:19
 
Kama unashindwa kuamini kwamba huyo mama amepata muujiza baada ya kuombewa, hata wakipona wagonjwa elfu utapinga tu. Wewe sio wa kwanza kupinga.
Unajihakikishiaje kuwa mtoto aliezaliwa mwanamme, ni kwa sababu ya maombi yako.
Ikiwa umeomba baada ya kuona anamimba tayari, na mtu akiwa na mimba ama azae mtoto wa kiume, au wa kike?
 
Ndo ufahamu wako ulipoishia...
Siyo wanaoumwa INI wote ni walevi wewe TAPELI..
 
Acha blah! blah!,,, tapeli tu wewe huna lolote,,, kwahiyo wagonjwa wote mahospitalini hawana Imani?
Hako kachaka ka Imani ndo mnajifichia...
Mimi sijui. Lakini kwani wao hawajasikia kabisa kwamba Yesu anaponya? Kwanini hawaamini. Waambie waiige imani yangu. Nikiumwa sikimbilii hospitali. Namkimbilia Yesu. Share this message with them.
 
No matter how you're, Mungu anaangalia Imani yako kwake.
 
kwahio kuponyesha wagonjwa huwezi?.
nambona kunawagonjwa kibao wanao muamini yesu na hawaponi?

imekaaje hii?
 
kwahio kuponyesha wagonjwa huwezi?.
nambona kunawagonjwa kibao wanao muamini yesu na hawaponi?

imekaaje hii?
Anayeponya ni Yesu. Mimi huwa naomba tu kwa imani. Sababu za wanaomuamini Yesu kutopona zipo nyingi. Soma uzi huu na replies zangu zote utapata kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…