MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Pambana. Utawapata wajinga kibao wa kuwatoza sadaka. Hata hapa JF utawaokota kadhaa.Wakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata hao, na aliwalea kwa upendo. Hata hivyo moyoni alitamani apate na wa kiume.
Kwa imani, nilianza kumuombea. Yesu aliye hai alisikia maombi, mama huyo akapata ujauzito na kujifungua mtoto wa kiume! Sasa amejaa furaha na shangwe kuu.
Je, na wewe una hitaji hilo? Unahitaji mtoto wa kiume au wa kike na hujapata? Yesu hana upendeleo, anaweza kukutendea muujiza huo hata kama madaktari wamekuambia "haiwezekani." Kinachotakiwa tu ni wewe uombe kwa imani, bila mashaka, wala kusikiliza sauti zinazokukatisha tamaa.
Katika Yn 14:13-14 Yesu ameahidi akisema "nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya."
Tena anasema katika Yohana 16:24
"Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu."
Biblia ni kitabu cha kweli, na ahadi za Mungu zilizoandikwa katika kitabu hiki ni za kuaminika. Haleluya!!
Huyu bibi akioana na Rais Dennis Shughuru watatengeneza couple kali ile laana.Ila wewe bibi somjo sana 😹😹
Mkuu Hadi menopause iishe tutaona mengiWakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata hao, na aliwalea kwa upendo. Hata hivyo moyoni alitamani apate na wa kiume.
Kwa imani, nilianza kumuombea. Yesu aliye hai alisikia maombi, mama huyo akapata ujauzito na kujifungua mtoto wa kiume! Sasa amejaa furaha na shangwe kuu.
Je, na wewe una hitaji hilo? Unahitaji mtoto wa kiume au wa kike na hujapata? Yesu hana upendeleo, anaweza kukutendea muujiza huo hata kama madaktari wamekuambia "haiwezekani." Kinachotakiwa tu ni wewe uombe kwa imani, bila mashaka, wala kusikiliza sauti zinazokukatisha tamaa.
Katika Yn 14:13-14 Yesu ameahidi akisema "nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya."
Tena anasema katika Yohana 16:24
"Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu."
Biblia ni kitabu cha kweli, na ahadi za Mungu zilizoandikwa katika kitabu hiki ni za kuaminika. Haleluya!!
Amina.Wakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata hao, na aliwalea kwa upendo. Hata hivyo moyoni alitamani apate na wa kiume.
Kwa imani, nilianza kumuombea. Yesu aliye hai alisikia maombi, mama huyo akapata ujauzito na kujifungua mtoto wa kiume! Sasa amejaa furaha na shangwe kuu.
Je, na wewe una hitaji hilo? Unahitaji mtoto wa kiume au wa kike na hujapata? Yesu hana upendeleo, anaweza kukutendea muujiza huo hata kama madaktari wamekuambia "haiwezekani." Kinachotakiwa tu ni wewe uombe kwa imani, bila mashaka, wala kusikiliza sauti zinazokukatisha tamaa.
Katika Yn 14:13-14 Yesu ameahidi akisema "nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya."
Tena anasema katika Yohana 16:24
"Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu."
Biblia ni kitabu cha kweli, na ahadi za Mungu zilizoandikwa katika kitabu hiki ni za kuaminika. Haleluya!!
😹😹😹Huyu bibi akioana na Rais Dennis Shughuru watatengeneza couple kali ile laana.
Habari mkuu...salamu kutoka pande hizi..Mkuu tumia busara kidogo basi
We ulisema watu wanajiharibu kwa sumu ya Pombe , nikakwambia siyo wote wenye Magonjwa ya Ini walipatia kwenye Pombe,, we unaleta habari za Chanzo kikuu,,Chanzo kikubwa ni ulevi. Hata upinge
Vizuri, naomba uniombee na mimi jaman! Nipate Ajira.Wakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata hao, na aliwalea kwa upendo. Hata hivyo moyoni alitamani apate na wa kiume.
Kwa imani, nilianza kumuombea. Yesu aliye hai alisikia maombi, mama huyo akapata ujauzito na kujifungua mtoto wa kiume! Sasa amejaa furaha na shangwe kuu.
Je, na wewe una hitaji hilo? Unahitaji mtoto wa kiume au wa kike na hujapata? Yesu hana upendeleo, anaweza kukutendea muujiza huo hata kama madaktari wamekuambia "haiwezekani." Kinachotakiwa tu ni wewe uombe kwa imani, bila mashaka, wala kusikiliza sauti zinazokukatisha tamaa.
Katika Yn 14:13-14 Yesu ameahidi akisema "nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya."
Tena anasema katika Yohana 16:24
"Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu."
Biblia ni kitabu cha kweli, na ahadi za Mungu zilizoandikwa katika kitabu hiki ni za kuaminika. Haleluya!!
Kwema kabisa ndugu, weekend inaenda Salama?Habari mkuu...salamu kutoka pande hizi..
Kwema ndugu...salamaKwema kabisa ndugu, weekend inaenda Salama?
Bwana Yesu asifiwe sanaWakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata hao, na aliwalea kwa upendo. Hata hivyo moyoni alitamani apate na wa kiume.
Kwa imani, nilianza kumuombea. Yesu aliye hai alisikia maombi, mama huyo akapata ujauzito na kujifungua mtoto wa kiume! Sasa amejaa furaha na shangwe kuu.
Je, na wewe una hitaji hilo? Unahitaji mtoto wa kiume au wa kike na hujapata? Yesu hana upendeleo, anaweza kukutendea muujiza huo hata kama madaktari wamekuambia "haiwezekani." Kinachotakiwa tu ni wewe uombe kwa imani, bila mashaka, wala kusikiliza sauti zinazokukatisha tamaa.
Katika Yn 14:13-14 Yesu ameahidi akisema "nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya."
Tena anasema katika Yohana 16:24
"Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu."
Biblia ni kitabu cha kweli, na ahadi za Mungu zilizoandikwa katika kitabu hiki ni za kuaminika. Haleluya!!
Kweli kabisa, kwa Mwamposa wamepona maelfu wamemgeuzia kibao eti tapeli, na wewe ebu kaombee wapone maelfu maelfu uitwe tapeli.Kama unashindwa kuamini kwamba huyo mama amepata muujiza baada ya kuombewa, hata wakipona wagonjwa elfu utapinga tu. Wewe sio wa kwanza kupinga.
Tunamshukuru Mungu mtani.... Pumzi ndo Kila kituKwema ndugu...salama
Hakikaa....Tunamshukuru Mungu mtani.... Pumzi ndo Kila kitu
Hitaji langu CCM uondoke madarakani niombee mtumishiWakuu, sikilizeni habari hii ya ajabu! Ni habari ya mama mmoja ambaye kila alipopata ujauzito, alizaa mtoto wa kike. Mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu - wote wa kike. Alifurahi kuwapata hao, na aliwalea kwa upendo. Hata hivyo moyoni alitamani apate na wa kiume.
Kwa imani, nilianza kumuombea. Yesu aliye hai alisikia maombi, mama huyo akapata ujauzito na kujifungua mtoto wa kiume! Sasa amejaa furaha na shangwe kuu.
Je, na wewe una hitaji hilo? Unahitaji mtoto wa kiume au wa kike na hujapata? Yesu hana upendeleo, anaweza kukutendea muujiza huo hata kama madaktari wamekuambia "haiwezekani." Kinachotakiwa tu ni wewe uombe kwa imani, bila mashaka, wala kusikiliza sauti zinazokukatisha tamaa.
Katika Yn 14:13-14 Yesu ameahidi akisema "nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya."
Tena anasema katika Yohana 16:24
"Hata sasa hamjaomba neno kwa jina langu; ombeni, nanyi mtapata; furaha yenu iwe timilifu."
Biblia ni kitabu cha kweli, na ahadi za Mungu zilizoandikwa katika kitabu hiki ni za kuaminika. Haleluya!!
Mimi hiyo stage ya kuwaza pesa tu kila wakati nimeishaivuka. Utasubiri sana kuona nachangisha pesa humu.Kuna wajinga watajichanga muda sio mrefu utawaokota