Nilimuona wa kawaida nikaja gundua....


You are not confused..you confused yourself..
 
Thaman ya kitu ni pale kinapotoweka kwnye himaya yako
 
hauwezi ona umuhimu wa mtu hadi pale utakapo mkosa dat wat u face nw
 
Haiwezekan umchunie mtu bila sbb kuna kitu kilikufanya umchunie na hicho ndo unatakiwa ukiweke wazi ndo utapata ushauri utakaokusaidia, huyo dada ni haki yake kukukatalia make hamna kitu kinachouma kama kupenda usipopendeka hakika huyo dada atakuwa aliumia sana na hakika ukiwa nacho wakiona chanini ukikosa ndo unao na umuhimu wake
 

mmh labda ulimuona wa kawaida kwasababu ulimuona mwingine wa tofauti ambae nae baada ya muda umeanza kumuona wa kawaida..just a thought!
 
mambo ya kawaida haya
kwenye mapenzi,kama anajitia mgumu na wewe uchune,kuna siku
atakutafuta,wanawake ndo walivyo.

Humtakii mema mwenzio,wanawake wa aina hiyo hawapo tena siku hizi.
 
mmh labda ulimuona wa kawaida kwasababu ulimuona mwingine wa tofauti ambae nae baada ya muda umeanza kumuona wa kawaida..just a thought!

pole sana unatakiwa ukakiri kwake kama unampenda kwa dhat! Yeye ni bnadam atakuelewa hana roho ya mbao ataskia huruma
 
Utakuwa ulimpa mimba afu ukapata mwingine ukammwaga sasa umemwagwa huko unataka kurudi kuwa wazi usaidiwe jinsi ya kurudi bwana
 
Wewe! yani nyie ndo mnaoishi kwenye dreams za mchana! Ulimuona wa kawaida (kila mtu ni wa kawaida!). Its just that haohao watu wa kawaida wanakuwa na different positions in your life....Wewe ulivyomuona u had some feelings baada ya mazoea ukazizoea na hizo feelinngs akienda mbali zinarudi...(that is vicious cycle of life-hutokea kwa kila mtu regardless ni nani wako ). Just know if you want fun in your life(and relationship) you have to be creative in making fun happen it doesnt just come out of the blue...
 
Pole,ulipoona ni wakawaida wenzio walimuona co wakawaida wakampa thaman inayostahili,ww tafuta mwingine wa kawaida mbona wengi tu!nina uadui wa kudumu na mwanadam yoyote anayecheza na hisia za binadam mwenzie hasa kimapnz!
 

katalina njoo,mvua usije
katalina njoo,mvua usije
 
hivi mimi ushanifanyia vituko mbele ya kadamnasi, umeniadhiri mbele ya walimwengu. Kesho unataka turudiane ni lazima nifikiri mara kumi zaidi.
Mleta mada kuna kikubwa kibaya alichomfanyia binti wa watu!


nishawahi kuwa naye, nikala naye siku mbili, kakubali kila kitu isipokuwa kupima oil tu, na akaniambia bora nitafute pa kubofya, nimepapata, anadai nimsamehe na akatangaza kuniruhusu kupima oil, mpaka eti akazimia kwa kuwa niko na mwingine. Sasa bi mdogo wangu tumezaa kajukuu kwa wazazi wetu. Wanawake ovyoooo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…