Nilimuona wa kawaida nikaja gundua....

Nilimuona wa kawaida nikaja gundua....

ndugu wana JF,NILIKUWA NA MPENZI WANGU, BAADA YA KUWA NAYE KWA MUDA KAMA WA MIEZI 3 HIVI, nilianza kumuona kama wa kawaida tu na hakuna tofauti ya kuwa naye au kutokuwa naye, nikaamua kuwa kivyangu na kukaa kimya japo alitaka nimjulishe nini kimenipata lakini nikadharau, sasa nimegundua kuwa kumbe alikuwa muhimu kwangu kuliko nilivyodhani. Namuomba turudishe penzi letu lakini ananiambia ananiogopa sababu mi ni katili na hataki kulia tena kama awali.

I AM CONFUSED!!!!!!!!!!!!!!!!!

Pole sana mkuu. Tunajifunza kutokana na makosa. Try to apologise to her, akikataa, songa mbele, dunia haitasimama ukimkosa!
 
Safi sana! Tena unatakiwa uwe confused zaid ya hapo! Wanaume kama wewe ni wale mnaofikiria a woman ni daladala kiac kwamba unaweza shuka mda wowote 2 unaojickia na ukapanda tena wakati unaotaka!Ndo ukome!
 
. BAADA YA KUWA NAYE KWA MUDA KAMA WA MIEZI 3 HIVI, nilianza kumuona kama wa kawaida tu na hakuna tofauti ya kuwa naye au kutokuwa naye

kama mapenzi yenyewe ndiyo haya basi kazi ipo
 
Hongera mkuu kwani jitihada zako za kumfukuza zimezaa matunda
Acha wenzio wajilie taratiiiibu
OTIS
 
Pole,ulipoona ni wakawaida wenzio walimuona co wakawaida wakampa thaman inayostahili,ww tafuta mwingine wa kawaida mbona wengi tu!nina uadui wa kudumu na mwanadam yoyote anayecheza na hisia za binadam mwenzie hasa kimapnz!

tan taraaaa....kama kawa mama wa hisia!..
 
wakati unamchunia/kumpotezea ulitumia akili gani?...na ulipogundua ni wa muhimu ulitumia akili gani?
 
Kwako mtani mtaalam wa mahaba, sijui utashauri nini zaidi ya hii pointi yako.

Si ndo ameshauri kwamba jamaa auchune tu, mdada atamfuata tu mwenyewe kwa kusema eti wanawake ndivyo tulivyo. Sijui kwa nini ametujumuisha wote kwa kweli. Wengine huwa wakiuchuna wala hawarudi nyuma, sasa ngoja amshauri mwenzie vibaya kwa kumwambia aendelee kuuchuna huku nyuma bi-dada atangaze ndoa halafu ndo atakoma.
 
Safi sana! Tena unatakiwa uwe confused zaid ya hapo! Wanaume kama wewe ni wale mnaofikiria a woman ni daladala kiac kwamba unaweza shuka mda wowote 2 unaojickia na ukapanda tena wakati unaotaka!Ndo ukome!

Jamania! Jamani! Mbona unamkomesha hivyo, si ndo ameshakoma mpaka akachukua maamuzi magumu ya kuja kutuambia hapa ujue ameshakoma, sasa anahitaji ushauri wa kurudi kwa dada, dada naye bado ana makovu, namshauri atangaze ndoa mwayego.
 
Wewe! yani nyie ndo mnaoishi kwenye dreams za mchana! Ulimuona wa kawaida (kila mtu ni wa kawaida!). Its just that haohao watu wa kawaida wanakuwa na different positions in your life....Wewe ulivyomuona u had some feelings baada ya mazoea ukazizoea na hizo feelinngs akienda mbali zinarudi...(that is vicious cycle of life-hutokea kwa kila mtu regardless ni nani wako ). Just know if you want fun in your life(and relationship) you have to be creative in making fun happen it doesnt just come out of the blue...

Anatuletea aibu hapa bana wanaume wenzake buree........
Ye mwanamke/ mtu wa kawaida ndo anakuwaje kwake????????

Pre-judice imemponza na bado kuna mengi zaidi ya kujifunza kwa dharau na kujiona ni bora kuliko mwandani wake

Aka- watch "Why did I get Married" na "The diary of a Tired black Woman"
 
Safi sana! Tena unatakiwa uwe confused zaid ya hapo! Wanaume kama wewe ni wale mnaofikiria a woman ni daladala kiac kwamba unaweza shuka mda wowote 2 unaojickia na ukapanda tena wakati unaotaka!Ndo ukome!

well said isaac
 
ulidhani ulivyomchunia basi angekaa tu kukusubiri mpaka siku ungundue kwamba ni wa muhimu kwako,


na wewe hii zamu yako tulizana usibiri huruma yake ya kukurudia, tena usimkere na kumfuata futa kila sekunde
 
Back
Top Bottom