Osaka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 1,762
- 553
ndugu wana JF,NILIKUWA NA MPENZI WANGU, BAADA YA KUWA NAYE KWA MUDA KAMA WA MIEZI 3 HIVI, nilianza kumuona kama wa kawaida tu na hakuna tofauti ya kuwa naye au kutokuwa naye, nikaamua kuwa kivyangu na kukaa kimya japo alitaka nimjulishe nini kimenipata lakini nikadharau, sasa nimegundua kuwa kumbe alikuwa muhimu kwangu kuliko nilivyodhani. Namuomba turudishe penzi letu lakini ananiambia ananiogopa sababu mi ni katili na hataki kulia tena kama awali.
I AM CONFUSED!!!!!!!!!!!!!!!!!
Pole sana mkuu. Tunajifunza kutokana na makosa. Try to apologise to her, akikataa, songa mbele, dunia haitasimama ukimkosa!