VentureCapitalist
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 403
- 545
Hayawi hayawi huwa! Katika harakati zangu za maisha ya kila siku mkeka bhana juzi kati si ukatiki!kwa buku 10 nikampiga muhindi 2,500,000(baada ya makato ya kodi). Maisha mafupi nikasema wacha nikajipongeze kidogo nichakaze hiyo laki 5 huku nikiwa nimeibadilisha hiyo 2M kuwa USD kwa sababu napenda kuweka akiba ya fedha za kigeni.
Baada ya kupata drinks zangu, wakati wakulipa bill nikajisahau labda nipo Texas Marekani ama los angeles, pembeni yangu nilikua nimekaa kaunta na mdada flani hivi kuna haja ya kuendelea kuzungumza? Kichwa cha habari kinaeleza yote..