Niliomba Chuo first selection IFM in Acturial Science nimeambiwa ni over capacity nifanyaje?

Niliomba Chuo first selection IFM in Acturial Science nimeambiwa ni over capacity nifanyaje?

Inaonekana kwenye hio course wamechaguliwa wengi ambao wana ufaulu mkubwa kuliko wewe...
Jaribu kuomba tena second selection, huenda nafasi ikawepo kutoka kwa mtu ambaye haja-confirm hio course
 
Mdogo wetu omba UDSM hio kozi nadhani ipo
 
Habari, naombeni ushauri juu ya hilo swala maana linaniumiza akili.
Actuarial science inatolewa vyuo viwil2 Tanzania ifm & udsm mwaka jana ifm ilichukua69,udsm45 ushauli jaribu second selection
 
Back
Top Bottom