Niliomba kazi Western Governors University lakini kuna fomu nimeambiwa nilipe usd 20, je nilipe au niutapeli?

Rhoy

Member
Joined
Jan 14, 2025
Posts
9
Reaction score
3
Habari wapendwa…

Hivi juzi apo niliona tangazo la kazi kutoka Western Governors University (ni chuo cha online originated huko Marekani), nikafanya interview ( phone interview) na siku chache mbeleni wakaniambia hongera kwa interview na wakanitaka nikusanye taarifa zangu za kibenki kwaajili ya malipo na Tax documents lakini kwenye bank wakasema wanataka iwe American Express Bank account ambapo walisema kama hauna tunaomba ufatilie uweze kuwa na account hiyo sababu ni sehemu ya utaratibu wao sababu pesa zao zinatoka moja kwa moja huko Marekani ambapo ni makao makuu zinaekwa kwa account izo ambapo wewe ndo unaweza kuziamisha kwenda your local account….

Wakanitumia link ya io account sababu sikuipata kwa simu yangu Sasa io account nimefungua lakini inatakaku activate ambapo inatakiwa kulipia 20usd sasa nawaza nilipie nipate kazi au watu hawa ni wezi??!

 
Jamaa yangu hiyo elfu 60 ishi nayo tu

Ni bora hiyo hela uinywe Balimi kuliko kuwapa hao nguruwe pori
 
 
Risk vs Reward
Dola 20 ndogo sana ni km tsh52,000
Ila ukiambiwa ulipe pesa zingne tena apo una haja ya kuhofu
 
nipe link ya site titakwambia hapa unapigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…