Niliomba kazi Western Governors University lakini kuna fomu nimeambiwa nilipe usd 20, je nilipe au niutapeli?

Niliomba kazi Western Governors University lakini kuna fomu nimeambiwa nilipe usd 20, je nilipe au niutapeli?

Risk vs Reward
Dola 20 ndogo sana ni km tsh52,000
Ila ukiambiwa ulipe pesa zingne tena apo una haja ya kuhofu
Sasa mkuu hao Ameican Express Bank hawatozi fee ya aina yoyote ile unapofungua account. Halafu link aliyotumiwa jamaa inahitaji $20 kuactivate, yet you call that Risk vs Reward.

Mwambie akuwekee hapa hiyo link aliyotumiwa ujionee.
 
Achana na hiyo link waliokutumia, fanya kuwasiliana na hiyo bank moja kwa moja uone kama wanautaratibu huo.
 
Back
Top Bottom