Mme Mwenza JF-Expert Member Joined Feb 6, 2025 Posts 252 Reaction score 301 Mar 7, 2025 #21 Kifuatacho ITV ni..
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Mar 7, 2025 #22 RoDrick RaY said: Risk vs Reward Dola 20 ndogo sana ni km tsh52,000 Ila ukiambiwa ulipe pesa zingne tena apo una haja ya kuhofu Click to expand... Sasa mkuu hao Ameican Express Bank hawatozi fee ya aina yoyote ile unapofungua account. Halafu link aliyotumiwa jamaa inahitaji $20 kuactivate, yet you call that Risk vs Reward. Mwambie akuwekee hapa hiyo link aliyotumiwa ujionee.
RoDrick RaY said: Risk vs Reward Dola 20 ndogo sana ni km tsh52,000 Ila ukiambiwa ulipe pesa zingne tena apo una haja ya kuhofu Click to expand... Sasa mkuu hao Ameican Express Bank hawatozi fee ya aina yoyote ile unapofungua account. Halafu link aliyotumiwa jamaa inahitaji $20 kuactivate, yet you call that Risk vs Reward. Mwambie akuwekee hapa hiyo link aliyotumiwa ujionee.
K Kidevundevu Member Joined Jun 4, 2023 Posts 38 Reaction score 44 Mar 7, 2025 #23 Achana na hiyo link waliokutumia, fanya kuwasiliana na hiyo bank moja kwa moja uone kama wanautaratibu huo.
Achana na hiyo link waliokutumia, fanya kuwasiliana na hiyo bank moja kwa moja uone kama wanautaratibu huo.