Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #41
Zote panda tuAseee, wengine tunaozoefu na train tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote panda tuAseee, wengine tunaozoefu na train tu
Kikubwa dreamlinerMada yako umeingiza vitu vingi sana na kuvichanganya kwa pamoja mpaka inashindwa kueleweka nini hasa lengo la hii thd?!
Hiyo ya kupita juu,nitatapikaZote panda tu
Ahahhaaha ningekula vyote naamini wangenipa vingi zaidi,huko new york tutafika tuSasa ingekuwa unatoka Dar-New York si ungekula korosho gunia zima? I love u Mama Sabrina
Acha tutangaze ndege zetu weweKikubwa dreamliner
Kwahiyo ulienda kwa mgonjwa uko tilalila afu badala umpelekee mgonjwa juice ukampelekea bia tabia mbayaJana jioni wakati narudi Rock city ndani ya Air Tanzania(hapa kazi tu [emoji23]) nikapewa viburudisho mi nikaona mijuisi ile mizinguo tu nikaomba redwine nikapatiwa ya dodoma wine tukapewa na korosho lakin zile korosho tamu kweli ,nilivyomaliza nikamuomba yule kaka aniongezee akanipa kipakti kimoja kingine maana wine nisingeongezwa [emoji23][emoji23] zilikuwa tamu nitazitafuta niwe natafuna niongeze nguvu za kike[emoji6][emoji6] au sio maana naonaga G ananizidi nguvu kabisa ,safari hii nimepanga mashambulizi nimzidi kwenye game sitaki mchezo [emoji134][emoji134]
Safari yetu ilikuwa nzuri kabisa japo sisi hatukusimama kushangaa nje kama wale wengine wanajijua [emoji23][emoji23],li boeng nimelifurahia utafikiri nilikuwa naenda Dubai mweeee natamani niwe mtalii tu mie ,,kisafari kifupi hata huenjoy sana ila basi tu [emoji57][emoji57] wangetuzungusha na sisi hata mara tatu si kodi zetu bana ,ila yote poa
Nikatua zangu Mwanza nikapita kula samaki kwanza nilikuwa na hamu nazo kweli na kabia ka moja ,jamani nasikia kesho bia inauzwa 1000? Mbona watapata tabu waloshusha bei au ndio bei hiyo itakuwa local bar tu haina nomaa ,samaki nilimmaliza wote peke yangu sinaga mchezo kwenye kula [emoji104][emoji104][emoji105],sasa kama bia buku jamani jamani tutaongezeka kunenepa sisi kama nawaona mnavyochekelea [emoji23][emoji23] ,sikuonana na mwana jf yoyote yule sababu nilikuwa busy na wagonjwa ,sikuwa na muda hata wa kuchungulia pale Element au samaki samaki,ila poa tu yote kheri ,nilikuwa nimemiss kwetu navyopapenda jomoniiii ,,
Safari ikaishia kitandani kwangu nimelala vizuri sana
Karibuni Mwanza.. jiji tulivu la maraha
Mama GView attachment 824009View attachment 824012
Hapana sihitajiEeee pole baba swalehe tukuchangie kununua washing machine
Hata basi waweza tapika tuHiyo ya kupita juu,nitatapika
Unataka nini?Hapana sihitaji
Bora basi ,hy juu ,wengine washamba wa ngara [emoji23] [emoji23]Hata basi waweza tapika tu
Hapana wagonjwa washapona nimerudi nyumbaniKwahiyo ulienda kwa mgonjwa uko tilalila afu badala umpelekee mgonjwa juice ukampelekea bia tabia mbaya
Yes babeLove it,live it...
[emoji6]Da unavituko wewe
Sawa utatujulisha tutakupokeaSawa nitakaribia ,ngoja niulizie tiketi ya treni ( gari moshi)
Heheheukipanda DCM pia tujulishe
Hahaha ,MerciSawa utatujulisha tutakupokea
UsijaliBora basi ,hy juu ,wengine washamba wa ngara [emoji23] [emoji23]
Huyu aje huku apande madege ya kirusi ,Kinshasa - Lubumbashi ,unakula vodka tu ,2 hours anganiSasa ingekuwa unatoka Dar-New York si ungekula korosho gunia zima? I love u Mama Sabrina
Na mbona hyo supu unakunywa mwenyeweKumekuchaaa